Hii ni njia nyingine nzuri ya uokoaji kariakoo, kwa wale wahanga wanaopiga simu.

Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi.

Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao.

Tumieni simu au computer zenu kuingia kwenye web ya FIND MY DEVICE ya google kisha ingiza email na password ya mhanga utaona location mahali alipo kisha utafanya uokoaji. Mimi nipo mkoa wa mbali ila naamini kupitia thread hii nitasaidia wengi. Amen.
Shida si kujua alipo, wanajulikana sana tatzo ni jinsi ya kumfikia alipo
 
Jamani msimzodoe hivyo, anajaribu njia ya kusaidia. Kila mtu kaumia kwa njia yake. Mimi mwenyewe hapa nilikuwa naumiza kichwa, jinsi ya kuwafikia huko. Maana wamebanwa na wengi wako upande, ghorofa lilipodondokea. Nahisi wengi waliokuwa ghorofa ya kwanza. Wa ya pili waliokolewa, changamoto ipo ila inabidi itatuliwe, ni maisha ya wenzetu yako hatarini. Amejaribu kuwaza.
 
Mimi sio mwana ccm nchi yetu ili usikilizwe au uwe na akili lazima uwe mwana ccm kwanza kwa hyo mpaka hapo nishafeli.

Basi kama ni hivyo haina haja kusema sema mkuu unakaa kimya tu acha wanaccm waseme.
 
Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi.

Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao.

Tumieni simu au computer zenu kuingia kwenye web ya FIND MY DEVICE ya google kisha ingiza email na password ya mhanga utaona location mahali alipo kisha utafanya uokoaji. Mimi nipo mkoa wa mbali ila naamini kupitia thread hii nitasaidia wengi. Amen.
Kweli kukaa mkoani ni ujinga...yaani eneo halizidi Sqm 2000 utumie Google map?
 
Mbeba mizigo mmoja kaokoa watu 5 kwa mbinu za kimtaani kabisa ila mainjinia wasomi na madigrii yao wanashindwa cha kufanya wanashangaa shangaa tu na matumbo yao,wewe nawe na IT yako ya Data Star training collage Mwananyamala unakuja na idea ya kipuuzi kabisa bila kuchanganua kwamba tatizo sio hatujui location shida ni jinsi ya kifika walipo.Msukuma na Dotto Magari wakiwadharau wasomi mnakasirika shwaini kabisa.
For the record, Jengo linamirikiwa na Darasa la saba B, alikusanya darasa lanne wenzake watafute namna ya kuongeza vyumba kwenye basement.

Mnaleta tatizo kwa kuzarau taaluma za watu, yakiwafika shingoni mnaanza kulia lia hapa
 
Hata wale walioplan na kujenga jengo la Mwendokasi jangwani ni darasa la saba D au sio ndugu msomi😀
 
Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi.

Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao.

Tumieni simu au computer zenu kuingia kwenye web ya FIND MY DEVICE ya google kisha ingiza email na password ya mhanga utaona location mahali alipo kisha utafanya uokoaji. Mimi nipo mkoa wa mbali ila naamini kupitia thread hii nitasaidia wengi. Amen.
We MMANG'ATI, ndio umenunua SMATIFONI?

Ndugu Yako awe ndani ya nyumba yenu, aangukiwe halafu uanze kutumia location kujua alipo?
 
Mbeba mizigo mmoja kaokoa watu 5 kwa mbinu za kimtaani kabisa ila mainjinia wasomi na madigrii yao wanashindwa cha kufanya wanashangaa shangaa tu na matumbo yao,wewe nawe na IT yako ya Data Star training collage Mwananyamala unakuja na idea ya kipuuzi kabisa bila kuchanganua kwamba tatizo sio hatujui location shida ni jinsi ya kifika walipo.Msukuma na Dotto Magari wakiwadharau wasomi mnakasirika shwaini kabisa.
hatuend mbele sababu mnapenda kupinga ili muonekane mpo , sio wote wanajuwa walipo , yupo mmoja kapost jana anasema hajui halipo kote ni giza , mbinu moja haiez tatua kila kitu , hii pia inaeza saidia kwa wale wasiojuwa wapo upande gan labda kwasababu ya maweng
 
Hata wewe pia huna elimu ya long na latitude tuliza mshono hatupingi kufurahisha genge tunapinga kitu tunachokijua.
 
Wangekua serious Si wangetumia "radar sensor" kufanya hicho unachotaka. Na JWTZ nadhani radar hizo wanazo
 
Back
Top Bottom