Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Shida si kujua alipo, wanajulikana sana tatzo ni jinsi ya kumfikia alipoMods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi.
Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao.
Tumieni simu au computer zenu kuingia kwenye web ya FIND MY DEVICE ya google kisha ingiza email na password ya mhanga utaona location mahali alipo kisha utafanya uokoaji. Mimi nipo mkoa wa mbali ila naamini kupitia thread hii nitasaidia wengi. Amen.