Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

H
Supar market mnatembea tembea ndani alaf kidume huna pesa.....una panda gari ya demu anaingia shell analipa yeye....

True ukimpata shikamanaa
Haimaanishi usiwe na hela zako, unaweza ukawa na mtonyo freshi ila sio uwe mtu wa kutoboka deile. Binafsi napenda demu ambaye hata yeye anaweza simamia show ikibidi.

Ndio maana vijana mnaoa matapeli sikuhizi kwa sababu mnachukua madem washamba. Demu lazma awe na class aisee. Class sio kuwa pisi kali ila she has to be handling herself well.
 
Kiburi au jeuri kwa mwanamke haitokani na kuwa na pesa pekee au usoni .

Tabia hizo mbaya hutokana na mwanamke mwenyewe na malezi na makuzi yake na imani .

Maana hata maskini hohehahe wanawake wapo wajeuri, viburi n.k.

Mpaka unajiuliza jeuri au jeuri ya Huyu mwanamke inatokana na nini ili hali hana mbele wala nyuma?!

Ni hulka ya mtu na factors mbalimbali.

Umeshawahi sikia β€œmaskini jeuri” ?
 
Kwa Sasa Mimi ni mstaafu kwenye hiyo sector.....
Nakumbukaga zile root za slipway.....Ile juice 2 pale πŸ₯€ ni bei ya Kodi ya pango la mwezi mbagalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
utawala unahitaji nyenzo na pesa ni nyenzo kuu mkeo akiwa nayo zaidi hata iweje kuna mahali utawekwa chini ya himaya na utasalimu amri
True hasa kwa mwanamke mpumbavu,na sio mwenye hekima anaeangalia kesho ya watoto wake kimaadili, hawezi ichukua nafasi ya mwanaume.
Utenganisha ndoa na mali
 
True hasa kwa mwanamke mpumbavu,na sio mwenye hekima anaeangalia kesho ya watoto wake kimaadili, hawezi ichukua nafasi ya mwanaume.
Utenganisha ndoa na mali
KUANDIKA TU CHIEF LAKINI IWEPO HEKIMA ISIWEPO MWANAUME TULIFUKUZWA EDEN TUKASAKE PESA SIO KULA KULA BURE
 
Huyu amejikuta hapa na sasa anatafakari ... Lakini safari yake usikute alitupa wanaume wengi waliokuja kwenye maisha yake. Sasa kila anayejaribu kumsogelea akisoma waraka wa huyu mama anakimbia fasta..... Chochote kinachomtokea mtu ni matokeo ya uchaguzi na maamuzi aliyofanya kabla..
 
Nakazia
 
Vipi kuhusu wewe mkuu, ulijiona unatosha au la!

Vinginevyo PM yangu ipo wazi unaweza kunitumia mawasiliano yake.

Lakini na wewe tambua wanaume hatuoi mke sabab ya pesa. Hatuoi pesa au nyumba wala Range Rover. Tunaoa mke, nadhani unaelewa namaanisha kama kweli wewe ni mwanaume kamili
 
KUANDIKA TU CHIEF LAKINI IWEPO HEKIMA ISIWEPO MWANAUME TULIFUKUZWA EDEN TUKASAKE PESA SIO KULA KULA BURE
Naona umejib Kwa heruf kubwa..kabisa kuonyesha msisitizoπŸ˜ŠπŸŒπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚
 
MWANAMKE lazima awe mtiifu Kwa mumewe japo Kuna wanaume wenzangu yaan ni very Stubborn....

Namshaur buji buji kama Hana interest nae akupe namba.....😊😊
 
Shida yao kubwa ni kuwa wanatoa papuchi tu wakiwa na nyeg.e
Wewe ukitaka anakunyima , nani anataka upumbavu huo [emoji849]
 
Naona umejib Kwa heruf kubwa..kabisa kuonyesha msisitizoπŸ˜ŠπŸŒπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚
vi mario vinakera kutetea upuuzi ili vieleweke kulelewa ni kawaida mwanaume alievumilia kutolewa go.i unakulaje vitu vya mwanamke rti awe na hekima hekima my foot. wanaume tufanye kazi tuwe na sauti otherwise kufi..nje nje
 
Kweli kudate na mwanamke anayekuzidi kipato Ni nongwa Sana.

Mwanzoni atakutreat Vizuri Sana ila mkishafunga ndoa Hakuna rangi utakosa kuiona kwake.

Itafika siku akwambie utoke nje abadilishe nguo πŸ˜₯
Ndoa ya nini sasa, we ni kupiga mpini na kusepa kila mmoja anaendelea na maisha yake mkihitajiana mnatafutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…