Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri


Si binadamu na yeye?lolote linaweza kutokea 😀😀😀
 
Rushiamo tumawasiliano vijaña tujaribumo tubahati twetu😂
 
Umemhurumia sana..umetamani umtolee tangazo hapa apatikane wa kumliwaza
 
Ukizipata gombea urais. Si unaona mwenzako kila sehemu yuko peke yake? Tofauti na JK hadi kwenye mabembea alikuwa anaenda kubembea na mkewe
😆😆😆 Shida siyo pesa tu Bujibuji,hata ukiwa na akili wanaume wa kiafrika huwa awapendi.
Yaani ukijifanya hamnazo unapata mwenza fasta,ila jifanye unaakili timamu kila mwanaume anakuogopa😂😂😂😂😂
 
😆😆😆 Shida siyo pesa tu Bujibuji,hata ukiwa na akili wanaume wa kiafrika huwa awapendi.
Yaani ukijifanya hamnazo unapata mwenza fasta,ila jifanye unaakili timamu kila mwanaume anakuogopa😂😂😂😂😂
Umenena vyema. Wanaume wengi wasio jiamini wanaogopa wanawake wenye confidence
 
Juzi mmoja kanikatia miatari. Huwezi amini nimekalishwa chini demu ananipanga yaani. I was shocked. Demu mwenyewe kanizidi mkwanja kinoma. Anaendesha Mimi daladala. Baada ya kusema hivyo yaani mvuto ulupotea ghalfa. Ikabidi namtolea nje. Kiuhalisia kuna wadada wanapitia changamtoto za kimahusiano pamoja na mafanikio yao ya kiprofession na kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…