Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

utawala unahitaji nyenzo na pesa ni nyenzo kuu mkeo akiwa nayo zaidi hata iweje kuna mahali utawekwa chini ya himaya na utasalimu amri
Aaaa,wapi nyenzo ni Moja Tu ambayo ni "kuumbwa Mwanaume", hayo mengine huja na kuondoka lakini uanaume upo siku zote. Kazi ya Mungu haina makosa

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
4 shizzle ma nizzle
 
Ngoja ninkatafute post moja ya GuDume nicheke
 
Labda niwe kikunio tu ila sio kumuoa kabisaa never fore reva, kama wa maonyesho sawa nipobtayari ataenjoy uwepo wangu, nilikutana na binti mmoja single mom, kweli nilizama mazima nikaja kudunduwa yule binti ni mchakarikaji sana ako na vichenji ako na nyumba mbili , nikasema lol ikabid nijipuruse tu nikavunja mahusiano bila sababu, ila alikuja kurudi maana alienjoy kampani yangu, ila kiukweli wanawake wenye pesa kuna time huwa wanajisahau
 
wewe moyoni unajiona ni RUDE BOY wa reason with me 😂😂
 


Bro Bujibuji Simba Nyamaume mpe muongozo wa kiroho dada
Naamini wanaomkimbia sio wa hatma yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…