Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Ukiwaambia huu ukweli wanakua wakali sana. Imekua fashion tu. Mbaya zaidi wazazi wengi uwezo huo hawana ila wanajibana sana mpaka kukopa ili mtoto asome huko.
Sijachangia suala la maendeleo nimechangia suala la Elimu, specifc alipocomment LIKUDMkuu,
Unataka kuniambia kwamba, wewe ukijenga nyumba, siyo maendeleo siyo?
Huyo mwisrael pamoja na wewe wote ni vilaza