Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Naam, ni hatari sana.Bado bill ya ice cream wakati wa jua kali
Kama baba yako.Una umri gani mkuu
Hawezi sema milele.Halafu chakushangaza zaidi yeye hasemi ananufaika vipi na Simba sports club
Tofauti nyingine ni kwamba hela za mauzo ya jezi Mo hachukui na zote zinaenda Simba, wakati hela za jezi za Yanga GCM anachukua zote na kuipa Yanga sh. 1,300/= ( elfu moja mia tatu)GSM: "Yanga Bingwa"
MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga mchicha, jana nimemnunulia kocha vitumbua vya buku na bado kiungo mshambuliaji anadaiwa bagia za mia nane natakiwa kulipa kwa mangi.
GSM hata akichukua zote ni sawa tu si unakumbuka kuna hesabu inaitwaMo ana utajuri wa
Tofauti nyingine ni kwamba hela za mauzo Mo hachukui na zote zinaenda Simba, wakati hela za jezi za Yanga GCM anachukua zote na kuipa Yanga sh. 1,300/= ( elfu moja mia tatu)
bila kusahau lengo la kuishia makundi 🤣🤣🤣GSM hata akichukua zote ni sawa tu si unakumbuka kuna hesabu inaitwa
5-1
2-1
1-0
1-0
2-0
Naam, hata tusiposhiriki kabisa furaha yetu nibila kusahau lengo la kuishia makundi 🤣🤣🤣
Sisi furaha yetu ni Africa.Naam, hata tusiposhiriki kabisa furaha yetu ni
5-1
2-1
1-0
1-0
2-0
YANGA BINGWAbila kusahau lengo la kuishia makundi 🤣🤣🤣
YANGA BINGWASisi furaha yetu ni Africa.
Basi kila mtu aenjoy furaha yake 🤣🤣🤣
Africa mmefanya nini cha ajabu ambacho Yanga ya GSM haijawahi kukifanya?Sisi furaha yetu ni Africa.
Basi kila mtu aenjoy furaha yake 🤣🤣🤣
wa Afrika 🤣YANGA BINGWA
YANGA BINGWAwa Afrika 🤣