Hebu jitahidi uwe unapitapita hata mitandaoni basi au wewe mtandao pekee unaotumia ni jf yani hata kiwango chako cha exposure kinanipa mashaka, hivi huwa unafuatilia hata posts za wanayanga kwenye pages za hao wachambuzi au hilo nalo kwako ni heresays unahitaji mpaka mtu akupe data, hakuna watu wanaoamini na wanaofurahia hizo tetesi kama mashabiki wa upande wenu, yani wana wachambuzi wao hao chochote wanachosema wanaamini na kuwapa mabichwa mwingine wanamuita hadi fabrizio wa bongo, yani wao kila mchezaji wanaambiwa alitakiwa na simba ila kasajiliwa yanga na kwamba vita ilikuwa kali sana kati ya mo na gsm ila mwisho wa siku gsm ndio kashinda, lakini ukija kufuatilia unakuta huyo mchezaji wala hajasajiliwa kokote na mbaya zaidi hata simba hawajawahi kumhitaji, kuhusu hayo ya gsm niseme tu jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza siyo kila kitu cha kujifanya unahitaji ushahidi na hata ukihitaji huo ushahidi upo humu humu jf, japo nina uhakika hapo ulipo kuna mambo mengi umewahi kuyaamini kwa kuyasikia tu hujawahi kuyaona popote na wala hujawahi kuhitaji ushahidi wowote, sema nawaelewa hata mimi ningekuwa shabiki wa uto as long as tunamfunga simba na kufyeka vichaka vya simba tu basi mtu yeyote ambaye anamsema vibaya gsm ningekula naye sahani moja haijalishi anaongea ukweli au uwongo