Hii ni tofauti kubwa kati ya GSM na Mo

Hii ni tofauti kubwa kati ya GSM na Mo

Kumbe mo anandoto sio kufanya basi acha aendelee kuota
Ndio maana nasema utopolo mnaona ubingwa wa CAF ni jambo lisilowezekana kabisa Tanzania. Hatuwezi kuwazuia upeo wenu. Sijawahi kumsikia GSM anazungumzia michuano ya CAF 😃

IMG-20250715-WA0004.jpg
 
GSM: "Yanga Bingwa"

MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga mchicha, jana nimemnunulia kocha vitumbua vya buku na bado kiungo mshambuliaji anadaiwa bagia za mia nane natakiwa kulipa kwa mangi.MO NI TAPELI MBONA UWA HASEMI ROI YA INVESTMENT KWENYE TIMU
 
Hebu nikumbushe yanga imeanza kubeba makombe lini vile kabla ya simba kuchukua mara ya nne mfululizo ukinijibu hili utakuwa umepiga hatua moja kuelekea kujibu maswali yako mengine kama una uelewa mkubwa, maana ili nikueleze unielewe kuhusu hii ishu itanibidi nianze kwa kukuuliza maswali kadhaa ambayo kwa uelewa wako naona kabisa utashindwa kunijibu, anyway au tufanye sijui ninachokiongea au siyo maana hata hivyo wewe siyo mara ya kwanza kubishana kuhusu mpira sema umebadili tu id ila uandishi wako ni ule ule na nakumbuka hata mara ya mwisho tulivyo bishana uliishiwa hoja ukaishia kunijibu shit
Unahamisha magoli tu.
Yanga bingwa.
 
Umahili / Ufanisi / Faida ya GSM ni directly proportional na awamu gani ipo Madarakani wakati Mo ameonyesha angalau yupo consistent na awamu tofauti...; Makes you wonder iwapo kuna kunufaika fulani kutoka Serikalini...
 
Puuzi! Kuna ku comment na kuna ku challenge, kama hilo hulielewi una tofauti gani na wasemavyo Wakenya kuwa ni maiti?
Una challenge ujinga?wewe ni maiti mjinga🤣🤣
 
Una challenge ujinga?wewe ni maiti mjinga🤣🤣
Ujinga unakuwa challenged ili mtu aerevuke! Tumia muda wako mwingi kijana kusoma ili uelimike utoke kwenye hilo dim-witted la ujinga unaokupeleka kwenye upumbavu
 
Oohh poleni kumbe naongea na watu ambao hawajui kinachoendelea basi hilo linathibitisha maneno ya mwisho niliyomalizia kwenye hiyo comment yangu iliyopita anyway endeleeni kusubiri ushahidi, kama hamna lolote mnalolijua basi sina cha kuwasaidia maana kama mngekuwa wafuatiliaji wa mambo kwenye hii nchi msingeniuliza maswali ya kijinga kama hayo, msidhani kila mtu anaokota story za vijiweni kama ninyi unaweza ukawa unambishia mtu kwa sababu tu hufahamu kitu ambacho yeye anakifahamu na hawezi kukisema ila wanaojua wanajua na wasiojua waache waendelee kujifanya hawajui labda nikikutana na mtu anayejua ndio tunaweza tukaelewana na kujadiliana kuhusu hilo na si mtu asiyejua lolote
Wacha porojo kama raisi wako wa heshima, leta ushahidi hapa.

Kua GSM kabla ya Magu alikua kapuku ila baada ya Magu kawa tajiri wa kutupwa.

Hizi mbaga zenu za vijiweni mnazolishwa na wanazi wa raisi hazitawapeleka popote
Kaanza udhamini yanga 2019, hapo huyo Magu alikua kafa??
Mnalishwa matangopoli na mnayabugia tu aisee unafeli sana Jadda
 
Kwahiyo gsm alikuja yanga akiwa masikini baada ya magufuli kufa akawa tajiri hivi unafikiri unazungumza na wajinga humu na kuhusu makombe je ulitaka kufika na kufika abebe makombe bila kujenga timu iliyopotea miaka mingi hivi unaakili timamu kweli unajua hata kampuni ya GSM imeanzisha hata magufuli hajawa rais we kiazi ?
Oya huyo mnazi wa kolo kwake kila kitu yuko -ve kuhusu Yanga.
 
Back
Top Bottom