Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Wala sitegemei shabiki yeyote wa uto anielewe hapo, kwahiyo haya majibu yenu wala hayanishangazi, sana sana ndio mnazidi kudhihirisha akili zenu wa hukoUnahamisha magoli tu.
Yanga bingwa.
Wala sitegemei shabiki yeyote wa uto anielewe hapo, kwahiyo haya majibu yenu wala hayanishangazi, sana sana ndio mnazidi kudhihirisha akili zenu wa hukoUnahamisha magoli tu.
Yanga bingwa.
Na wewe ndio wale wale nilijua labda wewe walau utakuja na hoja tofauti na huyo mwenzio mropokaji, sasa ni wapi niliposema gsm kabla ya magufuli alikuwa kapuku na kwamba kaanza kuwa tajiri baada ya magu kufariki, kwani kabla ya magu kulikuwa na utawala wa aina gani na toka gsm aanze kuidhamini yanga imeanza kupata mafanikio mwaka ganiWacha porojo kama raisi wako wa heshima, leta ushahidi hapa.
Kua GSM kabla ya Magu alikua kapuku ila baada ya Magu kawa tajiri wa kutupwa.
Hizi mbaga zenu za vijiweni mnazolishwa na wanazi wa raisi hazitawapeleka popote
Kaanza udhamini yanga 2019, hapo huyo Magu alikua kafa??
Mnalishwa matangopoli na mnayabugia tu aisee unafeli sana Jadda
Umesema gsm ni fisadi, haoni shida kuchota pesa na kuzibwaga yanga, na kabla ya hapo mafisadi walidhibitiwa na Magu. Ndio umepewa taarifa kua gsm kaanza kudhamini yanga kipindi hicho hicho cha magu na yanga rasmi kuacha kutembeza bakuri.Na wewe ndio wale wale nilijua labda wewe walau utakuja na hoja tofauti na huyo mwenzio mropokaji, sasa ni wapi niliposema gsm kabla ya magufuli alikuwa kapuku na kwamba kaanza kuwa tajiri baada ya magu kufariki, kwani kabla ya magu kulikuwa na utawala wa aina gani na toka gsm aanze kuidhamini yanga imeanza kupata mafanikio mwaka gani
Hzo takwimu zinawakera sana makolowizardGSM hata akichukua zote ni sawa tu si unakumbuka kuna hesabu inaitwa
5-1
2-1
1-0
1-0
2-0
Yani umeamua hadi ulete takwimu za uongo ili mradi tu upingane na ukweli wewe si umesema gsm kaanza kuidhamini yanga toka 2019 halafu unasema msimu mmoja mbele akaanza kujizolea makombe, kwamba mara hii umesahau yanga kaanza kuchukua ubingwa mwaka 2022 baada ya simba kukoma na magu kufariki na msimu huo huo ndio wakaanza kuenda kimataifa mbona mnapenda kujitoa ufahamu, na kwa taarifa yenu huyo gsm wala siyo mdhamini pekee wa yanga kuna vigogo wa serikalini wako nyuma yake ila kwa sasa endeleeni kwanza kufurahia ubingwa wenu wa mchongo ndoto ikiisha mkigutuka usingizini mtafuta matongotongo na ndio mtaanza kuona kile wengine tunachokiona ila kwa sasa bado sanaUmesema gsm ni fisadi, haoni shida kuchota pesa na kuzibwaga yanga, na kabla ya hapo mafisadi walidhibitiwa na Magu. Ndio umepewa taarifa kua gsm kaanza kudhamini yanga kipindi hicho hicho cha magu na yanga rasmi kuacha kutembeza bakuri.
Msimu mmoja mbele akaanza kujizolea makombe mpaka kufika fainali kimataifa.
Shida yako wewe una here say nyingi zisizo na uthibitisho wowote so ni ngumu kupinga au kukubali, ni kama imani.
Leta ithibati hata kama sio ya moja kwa moja.
5-1Wala sitegemei shabiki yeyote wa uto anielewe hapo, kwahiyo haya majibu yenu wala hayanishangazi, sana sana ndio mnazidi kudhihirisha akili zenu wa huko
5-1Yani umeamua hadi ulete takwimu za uongo ili mradi tu upingane na ukweli wewe si umesema gsm kaanza kuidhamini yanga toka 2019 halafu unasema msimu mmoja mbele akaanza kujizolea makombe, kwamba mara hii umesahau yanga kaanza kuchukua ubingwa mwaka 2022 baada ya simba kukoma na magu kufariki na msimu huo huo ndio wakaanza kuenda kimataifa mbona mnapenda kujitoa ufahamu, na kwa taarifa yenu huyo gsm wala siyo mdhamini pekee wa yanga kuna vigogo wa serikalini wako nyuma yake ila kwa sasa endeleeni kwanza kufurahia ubingwa wenu wa mchongo ndoto ikiisha mkigutuka usingizini mtafuta matongotongo na ndio mtaanza kuona kile wengine tunachokiona ila kwa sasa bado sana
Kumbe takwimu unazo, mbona hutoi mkuu, tajiri kaingi 2019/2020 baada ya 2020/2021, 2021/2022 kaanza kuviokota kama mchanga baharini.Yani umeamua hadi ulete takwimu za uongo ili mradi tu upingane na ukweli wewe si umesema gsm kaanza kuidhamini yanga toka 2019 halafu unasema msimu mmoja mbele akaanza kujizolea makombe, kwamba mara hii umesahau yanga kaanza kuchukua ubingwa mwaka 2022 baada ya simba kukoma na magu kufariki na msimu huo huo ndio wakaanza kuenda kimataifa mbona mnapenda kujitoa ufahamu, na kwa taarifa yenu huyo gsm wala siyo mdhamini pekee wa yanga kuna vigogo wa serikalini wako nyuma yake ila kwa sasa endeleeni kwanza kufurahia ubingwa wenu wa mchongo ndoto ikiisha mkigutuka usingizini mtafuta matongotongo na ndio mtaanza kuona kile wengine tunachokiona ila kwa sasa bado sana
Wanahujumiwa, serikali inaibeba yanga.5-1
2-1
1-0
1-0
2-0
5-1
2-1
1-0
1-0
2-0
Hatari sana
Tajiri kama tajiri.
Yanga bingwaWala sitegemei shabiki yeyote wa uto anielewe hapo, kwahiyo haya majibu yenu wala hayanishangazi, sana sana ndio mnazidi kudhihirisha akili zenu wa huko
Yanga bingwaYanga bingwa
Yanga BingwaWala sitegemei shabiki yeyote wa uto anielewe hapo, kwahiyo haya majibu yenu wala hayanishangazi, sana sana ndio mnazidi kudhihirisha akili zenu wa huko
Aliyewaita mbumbumbu aliona mbali, huko Africa mmefanyanya nini? Kwamba nyinyi ni mabingwa labda, hatua gani mmefika Yanga hajawahi kufika enyi madundukaSisi furaha yetu ni Africa.
Basi kila mtu aenjoy furaha yake 🤣🤣🤣