Hii ni tofauti kubwa kati ya GSM na Mo

GSM ni muwekezaji.
Mo ni mfanyabihashara
 
Asubuhi na mapema mtu anakuja na mada ya aina hii! Kumbe ndio maana Wakenya wanatuita majina mengi ya ajabu iliwemo "maiti".
Hii inaonyesha kuwa haya ndio katafakari na kuyapa kipaumbele usiku mzima!
Pole Tanzania!
 
Watakuja wanasiasa sasaivi nakuanza kuwa ponda mna jadili mpira wakati lissu yupo magereza 😂
 
Utopolo wekeni lengo la kufika nusu fainali, hayo makundi. Haya mambo ya kuweka lengo la kutolewa kwenye makundi sio kabisa, maana hata Namungo alishafika makundi 😃😃😃
 
Asubuhi na mapema mtu anakuja na mada ya aina hii! Kumbe ndio maana Wakenya wanatuita majina mengi ya ajabu iliwemo "maiti".
Hii inaonyesha kuwa haya ndio katafakari na kuyapa kipaumbele usiku mzima!
Pole Tanzania!
Mzee kil kitu ni uchaguzi acheni watu wafanye kile wana penda sasa si uhamie kenya kama unaona kuko vzr
 
Kuna mashabiki huwa wanajivunia kununua jezi kwa bei ghali. Wajue tu kwamba hata wakiuziwa jezi kwa sh. 70,000/=, ni kwamba sh. 1,300/= inaenda klabuni na sh. 68,700/= jamaa anaichukua 🤣🤣🤣
 
Asubuhi na mapema mtu anakuja na mada ya aina hii! Kumbe ndio maana Wakenya wanatuita majina mengi ya ajabu iliwemo "maiti".
Hii inaonyesha kuwa haya ndio katafakari na kuyapa kipaumbele usiku mzima!
Pole Tanzania!
Asubuhi kama hii mtu unakuja ku comment nada ya aina hii! Kweli wewe ni mjinga wa wajinga
 
Huyo tajiri wenu wa vipindi hana maneno mengi sababu anajua hizo pesa anatoa wapi ukizingatia serikali ya sasa ni ya kujilia kwa urefu wa kamba, kwani alikuwa wapi kipindi yanga inatembeza bakuli enzi za magufuli ambazo mafisadi waliisoma namba, ninyi tulieni tu siku nchi ikirudi kwa wananchi tutegemee vilio kurudi huko utopoloni simba haina wawekezaji mafisadi wanaotegemea uwepo wa serikali fulani
 
Asubuhi na mapema mtu anakuja na mada ya aina hii! Kumbe ndio maana Wakenya wanatuita majina mengi ya ajabu iliwemo "maiti".
Hii inaonyesha kuwa haya ndio katafakari na kuyapa kipaumbele usiku mzima!
Pole Tanzania!
5-1
2-1
1-0
1-0
2-0
 
Asubuhi kama hii mtu unakuja ku comment nada ya aina hii! Kweli wewe ni mjinga wa wajinga
Puuzi! Kuna ku comment na kuna ku challenge, kama hilo hulielewi una tofauti gani na wasemavyo Wakenya kuwa ni maiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…