Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Watanzania mpo ktk ubora wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika utombo kweli kwahyo ambao hawajurusu magoli Semi final wataenda kucheza wote au zinahitajika timu Nne tu kwenda Round ya Semi final usichanganyikiwe na Draw za kutokufungana watu wanne lazima watokeMpira wa hovyo wakati kipa wa Mamelod ndio anaongoza kwa kufanya saves nyingi?
Mpira wa hovyo wakati Yanga imeongoza kwa shots on target?
Jana ilikuwa imechezwa mpira wa mbinu, pamoja na Mamelod kuumiliki sana mpira kakini wamelazimishwa mipira mingi wachezee eneo lao.
Yanga wamefaulu kupata clean sheet kuruhusu goli la ugenini ni msala kwa hatua hii.
N B
Timu zote hazijaruhusu goli la ugenini kwenye first leg kasoro Simba peke yake.
Yanga 0 Mamelod 0
Tp Mazembe 0 Petro Luanda 0
Es Tunis 0 Asec 0
Kati ya hizo nne zinazotoka mpaka sasa Simba ametanguliaUmeandika utombo kweli kwahyo ambao hawajurusu magoli Semi final wataenda kucheza wote au zinahitajika timu Nne tu kwenda Round ya Semi final usichanganyikiwe na Draw za kutokufungana watu wanne lazima watoke
Vip vyura FC hawajatanguliaKati ya hizo nne zinazotoka mpaka sasa Simba ametangulia
Mikia mna matatizo mengi sio mangungu peke yake na mashabiki wake pia ni sehemu ya tatizo!Vip vyura FC hawajatangulia
Kwahiyo mlifunga? Uko home ground unatoa draw halafu bado unavimba? Huna tofauti na aliyefungwa.Ball possession haifungi magoli.. weka data za shots on targets ili tujue nani alikuwa anatafuta magoli
Ndo ujue wameona muujiza kutoa draw, maana walijua watapigwa. Ngoja waende Bondeni wakaone kazi ilivyo.Mentality ya timu ndogo ni kushangilia sare tena wakiwa nyumbani
Nyie mliocheza mpira mzuri mlishinda ngapi?Sasa mnajisifia nini wakati mmecheza mpira wa hovyo namna hiyo.
Nyiny na Sis kina Nani wanashida ushawah sikia tumekanyagana had kuuwana wenyewe kwa wenyewe ushawaah kuona wap viongozi wetu wametangaza mechi Bure Viongozi wenu wanafahamu kabisa mechi ile ya fainali kuna watu walivuta lakini walivo wa ajabu wamerudia Tena kutangaza mechi Bure Tena ilimtoane miguu tena Nenda Temeke kawaona Ndugu zako wa vyura wamelazwaMikia mna matatizo mengi sio mangungu peke yake na mashabiki wake pia ni sehemu ya tatizo!
Kila timu Ina mipango yake, nyie mlichagua viingilio na yanga wakachagua bure usitake kufananisha Kila kitu ndio maana mmefungwa na Aly ahly na yanga akadroo na Mamelod kwa maana iyo akuna mfanano wa hizi timu, watu kukanyagana kwa ajili ya kuangalia timu yao ni mambo yanayotokeaga uwezi kutupangia Cha kufanya angalia timu yako kwanza Kama Iko kwenye right way ndio umkosoe mwenzako!Nyiny na Sis kina Nani wanashida ushawah sikia tumekanyagana had kuuwana wenyewe kwa wenyewe ushawaah kuona wap viongozi wetu wametangaza mechi Bure Viongozi wenu wanafahamu kabisa mechi ile ya fainali kuna watu walivuta lakini walivo wa ajabu wamerudia Tena kutangaza mechi Bure Tena ilimtoane miguu tena Nenda Temeke kawaona Ndugu zako wa vyura wamelazwa
kwahyo Nyiny mipango yenu kuruhusu watu waingie Bure wakanyagane had wauwane Ndio Furaha yenuKila timu Ina mipango yake, nyie mlichagua viingilio na yanga wakachagua bure usitake kufananisha Kila kitu ndio maana mmefungwa na Aly ahly na yanga akadroo na Mamelod kwa maana iyo akuna mfanano wa hizi timu, watu kukanyagana kwa ajili ya kuangalia timu yao ni mambo yanayotokeaga uwezi kutupangia Cha kufanya angalia timu yako kwanza Kama Iko kwenye right way ndio umkosoe mwenzako!
Angalia timu zote zinazojielewa zimetoa droo nyumbani, mikia pekee ndiyo imegongwa, mechi hizi zinachezwa kwa akili Kama ujafunga basi usiruhusu goli kwako ndio maana mnaitwa mwakarobo mnazicheza mechi hizi Kama mnavyocheza ligi mtaendelea kuishia hapo mpaka akili ziwakae sawaKwahiyo mlifunga? Uko home ground unatoa draw halafu bado unavimba? Huna tofauti na aliyefungwa.
Usijipe faraja kuwa nyie mliofungwa dhidi ya Al Ahly na Yanga aliyetoa suluhu na Mamelod mpo sawa. MfanoKwahiyo mlifunga? Uko home ground unatoa draw halafu bado unavimba? Huna tofauti na aliyefungwa.
We kweli ni popoma kwahyo ao ambao hawajafunguna wataenda wote semi final au timu zinazohitajika ni Nne tu kwenda Round inayofwata kwahyo Simba kufugwa juzi Ndio atatoka peke ake pia kufugwa kwake haina maana kwamba ametoka pia Suburi second Leg Ndio uandike uo utumboAngalia timu zote zinazojielewa zimetoa droo nyumbani, mikia pekee ndiyo imegongwa, mechi hizi zinachezwa kwa akili Kama ujafunga basi usiruhusu goli kwako ndio maana mnaitwa mwakarobo mnazicheza mechi hizi Kama mnavyocheza ligi mtaendelea kuishia hapo mpaka akili ziwakae sawa
izo ni hisia zako wew zimekutuma utabiri matokea ya aina hiyo mfano na Simba ikitokea kashinda mbili moja Na Yanga akaenda kufugwa moja bila kina Nani wataenda NusuUsijipe faraja kuwa nyie mliofungwa dhidi ya Al Ahly na Yanga aliyetoa suluhu na Mamelod mpo sawa. Mfano
Mechi ya marudio tufanye zote mbili zikaisha kwa sare ya goli moja kwa moja.
Mamelod 1 yanga 1
Na Al Ahly 1 Simba 1
Yanga watafuzu kwa matokeo hayo, je Simba itafuzu kwa hayo matokeo?
Pre mature goalWewe juzi uliongoza possession lakini kilikukuta nini?