Hii ni Yanga sio Simba, maana ya Kikosi kipana ndio hii! Hakuna Pacome, Aucho na Yao, unatoa sare na Mamelodi iliyokamilika kila idara

Mpira wa hovyo wakati kipa wa Mamelod ndio anaongoza kwa kufanya saves nyingi?
Mpira wa hovyo wakati Yanga imeongoza kwa shots on target?
Jana ilikuwa imechezwa mpira wa mbinu, pamoja na Mamelod kuumiliki sana mpira kakini wamelazimishwa mipira mingi wachezee eneo lao.
Yanga wamefaulu kupata clean sheet kuruhusu goli la ugenini ni msala kwa hatua hii.

N B
Timu zote hazijaruhusu goli la ugenini kwenye first leg kasoro Simba peke yake.
Yanga 0 Mamelod 0
Tp Mazembe 0 Petro Luanda 0
Es Tunis 0 Asec 0
Umeandika utombo kweli kwahyo ambao hawajurusu magoli Semi final wataenda kucheza wote au zinahitajika timu Nne tu kwenda Round ya Semi final usichanganyikiwe na Draw za kutokufungana watu wanne lazima watoke
 
Kati ya hizo nne zinazotoka mpaka sasa Simba ametangulia
 
Mikia mna matatizo mengi sio mangungu peke yake na mashabiki wake pia ni sehemu ya tatizo!
Nyiny na Sis kina Nani wanashida ushawah sikia tumekanyagana had kuuwana wenyewe kwa wenyewe ushawaah kuona wap viongozi wetu wametangaza mechi Bure Viongozi wenu wanafahamu kabisa mechi ile ya fainali kuna watu walivuta lakini walivo wa ajabu wamerudia Tena kutangaza mechi Bure Tena ilimtoane miguu tena Nenda Temeke kawaona Ndugu zako wa vyura wamelazwa
 
Kila timu Ina mipango yake, nyie mlichagua viingilio na yanga wakachagua bure usitake kufananisha Kila kitu ndio maana mmefungwa na Aly ahly na yanga akadroo na Mamelod kwa maana iyo akuna mfanano wa hizi timu, watu kukanyagana kwa ajili ya kuangalia timu yao ni mambo yanayotokeaga uwezi kutupangia Cha kufanya angalia timu yako kwanza Kama Iko kwenye right way ndio umkosoe mwenzako!
 
kwahyo Nyiny mipango yenu kuruhusu watu waingie Bure wakanyagane had wauwane Ndio Furaha yenu
 
Kwahiyo mlifunga? Uko home ground unatoa draw halafu bado unavimba? Huna tofauti na aliyefungwa.
Angalia timu zote zinazojielewa zimetoa droo nyumbani, mikia pekee ndiyo imegongwa, mechi hizi zinachezwa kwa akili Kama ujafunga basi usiruhusu goli kwako ndio maana mnaitwa mwakarobo mnazicheza mechi hizi Kama mnavyocheza ligi mtaendelea kuishia hapo mpaka akili ziwakae sawa
 
Usijipe faraja kuwa nyie mliofungwa dhidi ya Al Ahly na Yanga aliyetoa suluhu na Mamelod mpo sawa. Mfano
Mechi ya marudio tufanye zote mbili zikaisha kwa sare ya goli moja kwa moja.
Mamelod 1 yanga 1
Na Al Ahly 1 Simba 1
Yanga watafuzu kwa matokeo hayo, je Simba itafuzu kwa hayo matokeo?
 
Kuna mda inabidi tusipende kujitoa ufahamu hivi mtu unasifiaje timu ambayo Ipo nyumbani halafu inapaki basi.
 
Angalia timu zote zinazojielewa zimetoa droo nyumbani, mikia pekee ndiyo imegongwa, mechi hizi zinachezwa kwa akili Kama ujafunga basi usiruhusu goli kwako ndio maana mnaitwa mwakarobo mnazicheza mechi hizi Kama mnavyocheza ligi mtaendelea kuishia hapo mpaka akili ziwakae sawa
We kweli ni popoma kwahyo ao ambao hawajafunguna wataenda wote semi final au timu zinazohitajika ni Nne tu kwenda Round inayofwata kwahyo Simba kufugwa juzi Ndio atatoka peke ake pia kufugwa kwake haina maana kwamba ametoka pia Suburi second Leg Ndio uandike uo utumbo
 
😂😂😂
 
Attachments

  • 20240321_210525.jpg
    20240321_210525.jpg
    33.7 KB · Views: 1
Usijipe faraja kuwa nyie mliofungwa dhidi ya Al Ahly na Yanga aliyetoa suluhu na Mamelod mpo sawa. Mfano
Mechi ya marudio tufanye zote mbili zikaisha kwa sare ya goli moja kwa moja.
Mamelod 1 yanga 1
Na Al Ahly 1 Simba 1
Yanga watafuzu kwa matokeo hayo, je Simba itafuzu kwa hayo matokeo?
izo ni hisia zako wew zimekutuma utabiri matokea ya aina hiyo mfano na Simba ikitokea kashinda mbili moja Na Yanga akaenda kufugwa moja bila kina Nani wataenda Nusu
 
Back
Top Bottom