Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

Watanzania tunapenda sana kushabikia ubishani wa pande mbili. Uarabu vs Uzungu, Ukraine vs Russia, Yanga vs Simba etc, yaani kila kitu kina pande mbili na kila upande hautaki ku-fact check au kukubali ukweli. Mataifa ya hii dunia huwa yanapatwa na majanga ya asili na kusaidiana. Kuna matetemeko, mafuriko, Njaa nk. Haya hayana baunsa, yanapokumba taifa hata liwe limeendelea, hupokea msaada kutoka sehemu mbali mbali.
 
Vijana wengi watatukana kwa kutojua na kujifanya wajuaji. Ukweli ni kwamba kuanzia 80"s mpaka 2000's Warusi walipitia nyakati ngumu sana kiuchumi, mtoa msaada mkubwa kwao alikuwa USA kupitia USAid
 
Msaada wa Marekani kupitia USAID kwa Russia haukuwa msaada wa majanga, ilikuwa msaada wa maendeleo kama tunaopewa bongo na Africa kuboresha sekta mbalimbali, mojawapo ilikuwa Land Reforms.
 
Hii picha tuu mkuu unapoteza point zako kujadili vipicha ambavyo hata havina maelezo wala source
 
USAID, World Bank na IMF wamewahi kuwapa misaada na mikopo mingi tu Urusi mpaka mwaka 2014.
USAID NI DUDE KUBWA SANA ANGALIA LAND CRUISER ZOTEE TANZANIA NZIMA ZENYE PLATE NUMBER ZA DFP UBAVUNI ZINA NEMBO YA USAID KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI. HATA TAASISI ZA BENJAMIN MKAPA FOUNDATION NA JAKAYA KIKWETE FOUNDATION ZOTE ZINATOA PESA HUKO. NA SIO TANZANIA TU AFRICA NZIMA
 
Watakwambia hamna cha bure wakati hata elimu bure wao ndo wafadhili wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…