Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

USAID NI DUDE KUBWA SANA ANGALIA LAND CRUISER ZOTEE TANZANIA NZIMA ZENYE PLATE NUMBER ZA DFP UBAVUNI ZINA NEMBO YA USAID KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI. HATA TAASISI ZA BENJAMIN MKAPA FOUNDATION NA JAKAYA KIKWETE FOUNDATION ZOTE ZINATOA PESA HUKO. NA SIO TANZANIA TU AFRICA NZIMA
Hilo liko hivyo, USA ni taifa no 1. lenye nguvu na ushawishi duniani.

Wanaobisha wanachangamsha genge tu.
 
North Korea wakipata njaa huwa hata South Korea inawachangia maana hawana hela ya kununua chakula. Marekani na South Korea nazo huwapa chakula. Njaa haina baunsa
Hayo manchi ya kidikteta yanajua kurundika silaha tu, hayajali maisha ya raia, na raia ukikisoa umekwisha.
 
Umewahi kujua kwa nini Rais wa Marekani ndiye huwa anachagua rais wa World Bank mara zote na mara zote Rais wa World Bank amekuwa Mmarekani??
Vyovyote itavyo kua Imf na wb sio mashirika ya marekani
 
1000041235.jpg
 
Mbona hata sisi tuliwapa msaada wa fedha Uturuki mzee..wakati hata pesa ya majanga tumetembeza tena bakuli kwa wananchi???
Au hushtuki janga la Kariakoo tumetembeza pesa ya kuchangia lkn tumeipa Taifa stars 700M instantly...na tumenunua magoli ya Simba na Yanga mpaka strikers pumzi zimekata???
Suala la kutoa na misaada ni vitu vinahesabu kali, na malengo tofauti...
Kuna wanaume haachi kitu nyumbani - lkn anaenda kutoa msaada wa kunyweshwa watu bar..
KUTOA NI SCIENCE
 
Back
Top Bottom