Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Hamna msoto wowote, unashiba vzr tu na maisha yanaendelea.hakika ulikula msoto kisawasawa
Hamna msoto wowote, unashiba vzr tu na maisha yanaendelea.hakika ulikula msoto kisawasawa
Kwa wale ambao tunafunga tunajua balaa lake hata kama ikipita pisi ya namna gani no reaction!Hahaha kuna raia hawajui njaa ni kitu gani
Mambo yngu hayo nikiwa chuo ilikuw ukilalamik mbog haina nyanya moyoni nakuona fala 😂
Ukiwa kwenye mfungo kuna muda ukifika njaa inauma hadi unahisi kutetemeka kama ndio unaanza lakini!Unamaanisha nini
Umaskini upo, lakini umaskini wa kufika mahali hata chakula hakuna ni mbaya sana, njaa inatesa Sana kama sio Mpango wa kufanya dietyMuhimu tumbo lijae 🤪
Ila hakuna kitu kibaya kama Umasikini, vijana pambaneni kuwaondoa Wazazi wenu kwenye huo mnyororo wa aibu
Buda,
Seran ni wangu Dec ntawaprove wrong
Hadi mtoto mdogo anajua umuhimu wake hasa inapotokea anarudishwa nyumbani kisa mzazi wake hajamlipia mchango waFedha ni kila kitu japokuwa watu wanabeza hio statement