andaa suti mwezi wa 10 tu ntakupa invitation card
Dah! Sawa mkuu.
andaa suti mwezi wa 10 tu ntakupa invitation card
Hapana nakataa.Hio ni real life situation
Ila wabongo tuna laana walahi, huyu jamaa wanamwonea sana wakat alipatwa na msiba, sisi sasa utaskia mo 29 😂
umeshindwa kutafsiri maana ya hio pichaHapana nakataa.
Ukisema hii meme unakumbuka maisha yako ya zamani nitakuelewa ila ukisema ni maisha unayaishi kwa sasa nitakuona kichaa.
HakikaSure
👊 halafu mwambie mzee mwezio The Icebreaker aache wivu yeye kama kaka wa Seran aniache niinjoi maisha na dada yake.Dah! Sawa mkuu.
AiseeNjaa ni kitu kibaya sana
Ina maana kwa Christine maji yalizidi unga ? 😅👊 halafu mwambie mzee mwezio The Icebreaker aache wivu yeye kama wa Seran aniache niinjoi maisha na dada yake.
namuheshimu kama shemej yangu.
Uinjoi kwa kula ugali na chumvi? Hiyo ni injoi au mateso? Hata Jela wanakula vizuri kuliko kwako wewe uliye free uraiani.👊 halafu mwambie mzee mwezio The Icebreaker aache wivu yeye kama wa Seran aniache niinjoi maisha na dada yake.
namuheshimu kama shemej yangu.
Hahaha shemej yangu ntakuheshimu sana ujue.Uinjoi kwa kula ugali na chumvi? Hiyo ni injoi au mateso? Hata Jela wanakula vizuri kuliko kwako wewe uliye free uraiani.
Unacheka nini sasa ? Umeshindwa ?
Uzuri aliyekula mapaja ya kuku na huyu huwezi kuwatambua ukipishana nao.