Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Umasikini ni laana jamani
AiseDah nimewahi kula hivi kabisa mara kadhaa chuoni!
Nilikuwa na maisha yangu yenye ugumu wa kutosha kiasi cha kutambulika kama masikini wa darasa.
Siku moja lecturer mmoja anafundisha darasani akatusimulia alivyokuwa akila ugali na chumvi chuoni, mwamba nikaiba idea nikatembea nayo! Aisee msione rahisi tu hapo, kuula huo ugali hadi kuumaliza kwa chumvi ni kama adhabu.
Inanikumbusha nyimbo ya Inspekta Harun.
Hakuna wa kukuyumbisha😅
Aisee mume wa dada punguza hasira utaua🤣👊 halafu mwambie mzee mwezio The Icebreaker aache wivu yeye kama kaka wa Seran aniache niinjoi maisha na dada yake.
namuheshimu kama shemej yangu.
Umewaza kama mimi, hapo alikuwa anatengeneza kontent. Halafu kuna ugali na chumvi ni uzembe, mboga huko porini zipo nyingi sana ni wewe tu kuingia kuzitafutaMwenye picha yake hana njaa hiyo!
Wanaokula ugali kwa chumvi hawanaga smart phone za kupigia picha wakati wanakula hiyo pesa ya kununua simu wangenunulia mboga.