Hii picha inaongea mengi sana halafu just imagine kuna watu hawajui njaa ni kitu gani

Bado hiyo sityo njaa mmhu na kunawatu tumeishk hayo maisha… kuna wale walikula hadi michuzi ya ngozi za viatu wakiamini wanapata protein kidooogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…