Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

Lazima apongezwe na kusifiwa maana kuna wengine wakikusanya hata kuzitoa tu hawezi na badala yake abaziweka tu benki kana kwamba ni mali yake.mwingine anaanza hadi kuzitapanya hovyo hivyo kwa matumizi yasiyo na tija wala matokeo chanya katika maisha ya watanzania.wengine anafanya kama alivyofanya mobuti seseseko kujenga majumba ya kifahari Ufaransa ambayo aliyaacha yote baada ya kufariki
Mkuu una mawazo ya ajabu sana ujue. Watu kama wewe ndiyo mnaorudisha nyuma maendeleo ya taifa
 
Kapelo, raba mkato, jinzi, shati la kuning'inia.

Mavazi ya Waziri mbele ya Rais yanaongea wazi, sijali lolote, bosi wangu mama angu, uwaziri kanipa yeye, anaulinda yeye ili binti yake alishwe, utanieleza nini....

hawajui hata kula na kipofu, kufeki kwamba tunapiga kazi, tuna heshima, tunathamini wananchi, tunaogopa mamlaka ya juu....

ujana maji ya moto
Hilo linatosha kukuelewesha kuwa nchi ina wenyewe 🤣! Hio ni shughuli official kama ambavyo tu unaweza kwenda ofisi ya raisi ila ukienda hivyo hata getini hutapita.
 
Uko sahihi kabisa. CCM yote imejaa neportism! Lakini pia kwenye hiyo CCM, kuna usultani mwingi. Watu wanapeana madaraka kwa kujuana, na pia wanarithishana vyeo kizazi na kizazi.

Bila shaka katiba mpya ya wananchi inaweza kupunguza haya mauzauza ya watawala wetu. Kinyume na hapo, tuendelee tu kusikilizia maumivu. Labda watoto wetu siku zijazo, watakuja kulikomboa hili Taifa kutoka kwa hawa Wakoloni wetu weusi.
 
Najisikia vibaya kuandika hili, ila viongozi wengi sana wa kiislamu (about 99,9%) huongoza kwa nepotism sana. Sijui kama iko kwenye mafundisho ya dini hiyo au vipi. Inaonekana kwenye uislamu dini na madaraka ya serikali viko pamoja ndani ya ukoo; katiba na demokrasi ni pambio tu. Rais akiwa mwislamu utakuta familia yake inapata madaraka na upendeleo sana. Mifano ipo karibu dunia nzima ambako marais ni waislamu.
 
Na mwingine kateua watoto wake wawili ni mawaziri,sio tatizo, shida ni kuwa hivi vyeo vinapatikana kwa kujuana wala sio kwa uwezo wa mhusika, kingekuwepo chombo cha mchujo wa hawa watu sidhani kama wangebahatika kupata hizo nafasi.Mfano unajua unajua tuanalisha wanaukoo wangapi wa familia ya kikwete na Mwinyi?
Hapo sasa !!
 
Tz bado w
Naelewa vizuri ila Dunia imeshatoka huko Mtu anavaa decent clothes na sio hayo mambo yenu ya kizamani Mtu kuvaa kapelo kuna kosa gani ??

That is way tuko nyuma hatuna content upstairs za kujadili Taifa la wadangaji
Ana sera za kikomunisti, watu wote eti mvae uniform kama zile' Kaunda suti' kuonyesha uzalendo' badala ya kupima utendaji kazi wa mtu....bado Tz safari ni ndefu...
 
Back
Top Bottom