johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho.
Nauliza tu ratiba hii ya mikoa 6 ndani ya siku 3 ina baraka za NEC?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Nauliza tu ratiba hii ya mikoa 6 ndani ya siku 3 ina baraka za NEC?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!