Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora baba ako angekutoa bafuni tu kuliko kuleta takataka hiii dunianMwacheni Lisu azunguke hata nchi nzima kwa siku huku akibwatuka atakavyo maana kufanya hivyo ni sehemu ya matibabu ya kisaikolojia kwa yaliyomkuta.
Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho.
Nauliza tu ratiba hii ya mikoa 6 ndani ya siku 3 ina baraka za NEC?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Ila somanga aliawaandikia barua wakampiga mabomuMimi wala sitakutukana bwashee, lakini nitasema kile nijuacho kwa mujibu wa utaratibu..
Jibu ni NDIYO, ina baraka zote za NEC..
Kwa sababu maswala ya uratibu wa kampeni za wagombea Urais wa vyama vyote uko chini ya Tume ya uchaguzi - taifa yenyewe..
Haiwezekani mgombea Urais kwenda sehemu yoyote bila ya ratiba kumruhusu kwenda huko..
Ila kuna hili, kwamba, kama mgombea Urais anataka kwenda sehemu ambako hana ratiba ya kuwa huko, basi utaratibu unamtaka aitaarifu NEC..
Ikitokea hakuna mgombea mwingine kwenye ratiba (NEC overall presidential campaign general timetable) katika eneo la mkoa huo, hapatakuwa na shida, NEC itampa go ahead mgombea huyo..
Bwasheee sio akili yakoLisu hata 10% ya kura zote hapati bwashee!
Wilson Mahera katika taarifa yake kulifafanua hilo alikiri kupokea barua ya Tundu Lissu..Ila somanga aliawaandikia barua wakampiga mabomu