johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Ndani kwako meku!Haja kubwa zimeshaanza kugonga nguo za ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani kwako meku!Haja kubwa zimeshaanza kugonga nguo za ndani
Ok...Tatizo hapo ni kuchupa toka ukanda mmoja kwenda mwingine. Kwa mfano, Ruvuma kwenda Dodoma.
..Lakini maeneo aliyopangiwa kufanya kampeni ktk ukanda husika yapo karibu karibu.
..Kwa mfano, Ruvuma amepangiwa kufanya mikutano Tunduru, Nyasa, na Songea.
..Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga inapakana, na amepangiwa kufanya kampeni Same, Handeni, na Pangani. Kwa hiyo akianzia maeneo ya Pangani, na Handeni, anaweza kuibukia na kumalizia mikutano maeneo ya Same Mashariki.
Nimekuelewa sana bwashee!Mimi wala sitakutukana bwashee, lakini nitasema kile nijuacho kwa mujibu wa utaratibu..
Jibu ni NDIYO, ina baraka zote za NEC..
Kwa sababu maswala ya uratibu wa kampeni za wagombea Urais wa vyama vyote uko chini ya Tume ya uchaguzi - taifa yenyewe..
Haiwezekani mgombea Urais kwenda sehemu yoyote bila ya ratiba kumruhusu kwenda huko..
Ila kuna hili, kwamba, kama mgombea Urais anataka kwenda sehemu ambako hana ratiba ya kuwa huko, basi utaratibu unamtaka aitaarifu NEC..
Ikitokea hakuna mgombea mwingine kwenye ratiba (NEC overall presidential campaign general timetable) katika eneo la mkoa huo, hapatakuwa na shida, NEC itampa go ahead mgombea huyo..
Muda wa mapingamizi umekwisha bwashee!Haina, peleka pingamizi afungiwe
Ok.
Kumbe ni kwa mujibu wa ratiba.
Dodoma na Singida je?
Pingamizi dhidi ya CCM ndio muda umeisha. Ila anything anytime can happen against upinzani. So just go ahead bwashee. Tume ni sikivu ukiwa against opposition.Muda wa mapingamizi umekwisha bwashee!
Ahsante kwa ufafanuzi!..Dodoma amepangiwa kwenda Chemba.
..Singida amepangiwa Singida na Ikungi.
..Zaidi ya Ikungi, Tume haijaeleza atakuwa eneo gani specific.
..Dodoma amepangiwa kwenda Chemba.
..Singida amepangiwa Singida na Ikungi.
..Zaidi ya Ikungi, Tume haijaeleza atakuwa eneo gani specific.
Na yule anayepepewa kila wakati?Mwacheni Lisu azunguke hata nchi nzima kwa siku huku akibwatuka atakavyo maana kufanya hivyo ni sehemu ya matibabu ya kisaikolojia kwa yaliyomkuta.
Nitashangaa sana kama tume imekuwa inapanga hizi ratiba za wagombea Urais bila kwanza kupokea mapendekezo kutoka kwa vyama husika. Litakuwa ni jambo la ajabu sana.
Hahahaaaa...... Meku umeshapanic!
Nadhani ataongeza na ihanja/Puma/sepuka (Mojawapo ili kumvunja moyo tapeli wa kisiasa bwn kingu)..Dodoma amepangiwa kwenda Chemba.
..Singida amepangiwa Singida na Ikungi.
..Zaidi ya Ikungi, Tume haijaeleza atakuwa eneo gani specific.
Tayari umeshatoka kanisani..?Ahsante kwa ufafanuzi!
Nakutakia Sabato yenye baraka!
Muulize jaji semistocles.Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho.
Nauliza tu ratiba hii ya mikoa 6 ndani ya siku 3 ina baraka za NEC?
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Bwasheee ana hofu anaweza kuhamia burigi Lissu atakapo kabidhiwa NchiBwashee nini kinakuogopesha kwani?
Lisu hata 10% ya kura zote hapati bwashee!Bwasheee ana hofu anaweza kuhamia burigi Lissu atakapo kabidhiwa Nchi