Uchaguzi 2020 Hii ratiba ya Tundu Lissu mikoa ya Ruvuma, Dodoma, Singida, Moshi, Tanga na Dsm kwa siku 3 ina baraka za NEC?

Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho.

Nauliza tu ratiba hii ya mikoa 6 ndani ya siku 3 ina baraka za NEC?

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Huy
Huyu ni chumaa,si NEC walimpangia ratiba ya kumkomoa?
Yeye kafanya na anaweza kupita arusha na manyara kusalimia
 
Dar ili mdhalilisha sana Lisu, sijui Kama ata thubutu kurudi. Maana ata mikutano aliyofanyia vichochoroni ilikosa wasikilizaji.
 
Dar washamba wengi watajazana kuifata chopa.

2015 Manji alikuwa anawanadi madiwani wa CCM kwa kutumia chopa viwanja vilijaa!
 
Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho.

Nauliza tu ratiba hii ya mikoa 6 ndani ya siku 3 ina baraka za NEC?

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe ni kima
 
Haja kubwa zimeshaanza kugonga nguo za ndani
 
..Tatizo hapo ni kuchupa toka ukanda mmoja kwenda mwingine. Kwa mfano, Ruvuma kwenda Dodoma.

..Lakini maeneo aliyopangiwa kufanya kampeni ktk ukanda husika yapo karibu karibu.

..Kwa mfano, Ruvuma amepangiwa kufanya mikutano Tunduru, Nyasa, na Songea.

..Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga inapakana, na amepangiwa kufanya kampeni Same, Handeni, na Pangani. Kwa hiyo akianzia maeneo ya Pangani, na Handeni, anaweza kuibukia na kumalizia mikutano maeneo ya Same Mashariki.
 
Back
Top Bottom