johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa...... Umeshapanic!Thread ya kipuuzi kabisa.Takataka
Kwi.....kwi.....kwi.....wasalimie migombani meku!Dawa ya huu uzi ni kuupotezea ufe natural dearth wenyewe
Happy Sabbath to you all.Nawatakia Sabato yenye baraka.
Bwashee nini kinakuogopesha kwani?Kwi.....kwi.....kwi.....wasalimie migombani meku!
Tunajali bwashee!Yani unachohusika nacho ni kwamba mnamjali sana kwenda mikoa 3 ataumwa au atapata Malaria?
Mambo ni moto bwashee...... Tundu Lisu amesahau nini Kilimanjaro?Kwa ninavyojua wasabato, sasa hivi unatakiwa kuzima simu ila wewe unachungulia mitandaoni π kweli uchaguzi huu umedhamilia ππ!
Happy Sabbath to you all.
Naona anarudi kule alikotoka juzi au kuna " jambo " amesahau?Bwashee nini kinakuogopesha kwani?
Wazo wako sio baya ni wazi adimu kutoka Buku sevensMwacheni Lisu azunguke hata nchi nzima kwa siku huku akibwatuka atakavyo maana kufanya hivyo ni sehemu ya matibabu ya kisaikolojia kwa yaliyomkuta.
Kwani hairuhusiwi?Naona anarudi kule alikotoka juzi au kuna " jambo " amesahau?
Ikikuuma chomoaNdivyo unavyochomoaga ikikuuma?
Naona anarudi kule alikotoka juzi au kuna " jambo " amesahau?