Uchaguzi 2020 Hii ratiba ya Tundu Lissu mikoa ya Ruvuma, Dodoma, Singida, Moshi, Tanga na Dsm kwa siku 3 ina baraka za NEC?

Ok.

Kumbe ni kwa mujibu wa ratiba.

Dodoma na Singida je?
 
Mimi wala sitakutukana bwashee, lakini nitasema kile nijuacho kwa mujibu wa utaratibu..

Jibu ni NDIYO, ina baraka zote za NEC..

Kwa sababu maswala ya uratibu wa kampeni za wagombea Urais wa vyama vyote uko chini ya Tume ya uchaguzi - taifa yenyewe..

Haiwezekani mgombea Urais kwenda sehemu yoyote bila ya ratiba kumruhusu kwenda huko..

Ila kuna hili, kwamba, kama mgombea Urais anataka kwenda sehemu ambako hana ratiba ya kuwa huko, basi utaratibu unamtaka aitaarifu NEC..

Ikitokea hakuna mgombea mwingine kwenye ratiba (NEC overall presidential campaign general timetable) katika eneo la mkoa huo, hapatakuwa na shida, NEC itampa go ahead mgombea huyo..
 
Nimekuelewa sana bwashee!
 
Muda wa mapingamizi umekwisha bwashee!
Pingamizi dhidi ya CCM ndio muda umeisha. Ila anything anytime can happen against upinzani. So just go ahead bwashee. Tume ni sikivu ukiwa against opposition.

Au tumia polisi mkuu akamatwe. Awekwe mahabusu kama yule wa ACT alivofanyiwa.

Options unazo nyingi tu bwashee.
 
..Dodoma amepangiwa kwenda Chemba.

..Singida amepangiwa Singida na Ikungi.

..Zaidi ya Ikungi, Tume haijaeleza atakuwa eneo gani specific.
Ahsante kwa ufafanuzi!

Nakutakia Sabato yenye baraka!
 
..Dodoma amepangiwa kwenda Chemba.

..Singida amepangiwa Singida na Ikungi.

..Zaidi ya Ikungi, Tume haijaeleza atakuwa eneo gani specific.

Nitashangaa sana kama tume imekuwa inapanga hizi ratiba za wagombea Urais bila kwanza kupokea mapendekezo kutoka kwa vyama husika. Litakuwa ni jambo la ajabu sana.
 
Nitashangaa sana kama tume imekuwa inapanga hizi ratiba za wagombea Urais bila kwanza kupokea mapendekezo kutoka kwa vyama husika. Litakuwa ni jambo la ajabu sana.

..Naamini kuna input toka kwa vyama vya siasa vinavyoshiriki kampeni.
 
..Dodoma amepangiwa kwenda Chemba.

..Singida amepangiwa Singida na Ikungi.

..Zaidi ya Ikungi, Tume haijaeleza atakuwa eneo gani specific.
Nadhani ataongeza na ihanja/Puma/sepuka (Mojawapo ili kumvunja moyo tapeli wa kisiasa bwn kingu)
 
Huyu Lissu nisipompa kura nitateseka sana. Nilijiandikisha kwa ajili yake hata kabla hajaateuliwa.

Lissu Ni noma
 
Muulize jaji semistocles.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…