paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Mkuu,unajua iko hiv, Mh ZZK ni kijana aliyewekeza karibu maisha yake yote kwenye siasa, na watu kama hawa ni wakupongezwa mno, unapowekeza maisha yako Kwa ajiri ya wengine ni Jambo la heshima Kwa Mungu na Kwa wanadamu pia
Lakini sasa katika uwekezaji wa Aina hiyo, na Kwa sababu uwekezaji huu unaupinzani, na kuna kila Aina ya Mbinu chafu kuhakikisha watu wengine hawapati nafasi ya wao kufikia malengo yao, ni lazima sasa, uingie Kwa akiri kubwa kuliko wao
Tageti yako iwe Mbele mara mbili kuliko wapinzani wako, ZZK ameonyesha kushindwa mapema Kwa wasiopenda uwepo wa ushindani, Agenda ya wapinzani wake ameshawaonyesha ili waitumie, Ila kama amewalenga Wazanzibar hapo sawa

Sasa wafanyeje wakati ndo waliochaguliwa