Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka uko sahihi kabisa kutokana na malezi uliyolelewa ila na usichokeze watu kwa imani zaoThat'll you know about Islam bro, with all due respect sir hiyo angle unavyotaka kwenda na mimi huwezi kutoboza
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Yale yale ya CUF maana hiyo safu ya uongozi ni kama tu taasisi ya kidini iliyopata ridhaa kufanya siasa.
Sawa!Huyo jamaa Boniface.
Ona huyu meeAct wazalendo imejaa viongozi waandamizi wa kiislamu wote kwahili zito kabwe kachemka mno.ACT ni mbadala wa Cuf
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawana CHUKI bali WANATUOGOPATatizo la wagalatia ni wadini sana.
Chuki yao dhidi ya waislam ni kubwa kuliko mapenzi waliyonayo kwenye kitu chochote ikiwemo
nchi Tanzania
Na hiyo ndio sababu CCM kuondoka madarakani labda baada ya miaka 200 hivi.
Ipi wewe bana huna wala hujui kitu kuhusu imani wala dini weweBila shaka uko sahihi kabisa kutokana na malezi uliyolelewa ila na usichokeze watu kwa imani zao
Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!
Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa ACT-Wazalendo;
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif
Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani
Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.
Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:
Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga
Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo
Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud
Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani
Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe
Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo
Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid
Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande
Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor
Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda
Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.
Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Mwambie atuwekee na safu ya viongozi (mawaziri ,rc,DC etc) ya serikali yetu ya kitaifaHuu ni uongozi wa Madrasa au chama cha siasa cha kitaifa
USSR
Kuna uwezekano uliyoandika yakajitokeza huko mbele!Hiki chama ni cha Maalim baada ya uchaguzi Zitto atastuka hana chama.
Act wazalendo imejaa viongozi waandamizi wa kiislamu wote kwahili zito kabwe kachemka mno.ACT ni mbadala wa Cuf
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!
Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa ACT-Wazalendo;
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif
Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani
Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.
Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:
Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga
Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo
Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud
Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani
Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe
Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo
Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid
Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande
Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor
Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda
Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.
Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Nimeisoma hii safu ya Viongozi wa ACT-Wazalendo ikanifikirisha sana kuhusu hatma ya ACT-Wazalendo kama chama kinachojiandaa kupewa dola nchini baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!
Kuna msemo usemao, ‘’Mwenye macho haambiwi tazama’’. Nimeitazama hii orodha ya viongozi wa juu na kuniacha na maswali mengi!
Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa ngazi ya juu wa ACT-Wazalendo;
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo-Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Maalim Seif
Mshauri Mkuu wa chama-Shaban Mambo na Juma Saanani
Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu-Ado Shaibu na Nassoro Ahmed Mazrui.
Wakuu wa Idara na Jumuiya za chama:
Mwenyekiti ngome ya wanawake- Mrs Mkiwa Kimwanga
Mwenyekiti wa ngome ya Vijana-Abdul Nondo
Idara ya Sera, Utafiti na Mafunzo-Idrissa Kowesa na Hassan Mosoud
Idara ya Habari na Mahusiano ya Umma-Salim Bimani
Idara ya Oganaizesheni na wanachama-Shaweji Mkato na Omari Ali Shehe
Idara ya Fedha na Uchumi-Abdalla Bakari na Rachel Kimambo
Idara ya Kampeni na Uchaguzi-Mohamed Masaga na Said Rashid
Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum-Pavu Abdalla na Mbarara Maharagande
Idara ya Amani-Mohamed Babu na Mohamed Noor
Idara ya Mambo ya Nje-Fatma Fereji na Boniface Mapunda
Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa-Hamad Mussa Yusuf na Edgar Mkosamari.
Je, wana Jamiiforums mnayaona haya ninayoyaona katika hii safu ya viongozi wa chama?
Mkuu, iko hivi, nchi yetu karibu 98% tunaishi kidugu, haijalishi wewe ni mgalatia ama ni muulamaa, angalia jamii inavyoishi kitaani, na nashangaa Kwa nini Bwana ZZK hajifunzi katika vitu vidogovidogo vinavyoifanya jamii ikae bila bughudha yoyote,Tatizo la wagalatia ni wadini sana.
Chuki yao dhidi ya waislam ni kubwa kuliko mapenzi waliyonayo kwenye kitu chochote ikiwemo
nchi Tanzania
Na hiyo ndio sababu CCM kuondoka madarakani labda baada ya miaka 200 hivi.
very good point , you are true JF member! great thinker!!wengine wanafuka moshi tu! yaani kama hawa jamaa wako wenyewe watupu mezani na wakisimama vikao ni pale tu kwenye sauti yenye kuweza kupasua anga hadi mbingu ya saba na hasa composition iko clear ikionesha kina nani wanavutiwa zaidi kujiunga na chama chao na ikionesha labda wameridhika na membership recruitment strategy yao inayoonesha ndege wafananao huruka pamoja basi tusubiri wakati mwingine kwa maana sasa wako wenyewe wakina bin tippu tip inabidi wachaguane wenyewe kwa wenyewe!! baba alisema dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu , kabla hujatoa kibanzi cha kina sultan anza na boriti lako chini ya kamanda DJ! hebu panga safu ya ufipa hapa uaibike! tuache ubaguzi sababu mwalimu anasema ukimbagua mtu au kabila dini au eneo nanyi mtaanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe hadi ndani ya familia,mwisho utajibagua wewe mwenyewe yani ushike upande wa mama au baba, nako utabagua!!Chama hakina watu kile acha wapangane hivyohivyo.
Huu ndio uhalisiaMfano Mdogo katika Ofisi/Idara ninayoifanyia Kazi kwenye Halmashauri X tumo Waislamu 2 na Wakristo 21.
Sasa unakuta Mtu anafungua Kwaya kwenye PC au Simu wengine wanafatisha Mistari.
Pia wanaweka Clips za Wachungaji mbalimbali na kusikiliza kwa Loud Speaker.
Lakini itokezee wewe Muislamu ufungue ile Kasida tu Basi Ofisi inasima kwa muda na kukuambia usilete mambo ya Udini Ofisini.
Sasa Nchi linapotokeza Jina la Muislamu tu ndiyo shida inapoanza.
Halmashauri ninayoifanyika Kazi.
NGAZI YA MKOA:
1) RC - Mkristo (RC)
2) RAS - Mkristo (RC)
3) Mkuu PCCB - Mkristo (RC)
4) RPC - Mkristo (RC)
5) RMO - Mkristo (RC)
6) RSO - Mkristo (TAG)
8) Mwenyekiti CCM - Mkristo (RC)
9) Mwenyekiti Chadema - Mkristo (RC)
NGAZI YA HALMASHURI:
1) DC - Mkristo (RC)
2) DAS - Mkristo - (RC)
3) DSO - Mkristo - (RC)
4) DED - Mkristo (Lutheran)
5) Mkuu PCCB - Mkristo (RC)
6) OCD - Mkristo (RC)
7) DMO - Mkristo (RC)
8) Mwenyekiti Chadema - Mkristo (RC)
9) Mwenyekiti CCM - Muislamu (Bakwata)
Sasa hapo hakuna anayehoji kuhusu Udini hapo na kila Mtu anaona ipo sawa.
Lakini inapokuja kwenye huyo M/Kiti CCM Wilaya imekuwa ugomvi kila siku Majungu.
Kuna Wakati DAS alikuwa Muislamu walifanya Fitna mpaka akaondolewa.
Yani Jamaa wanahisi Muislamu hana haki ya kuwepo popote pale! Na Akiwepo tu wanatafsiri ni Udini.
Na hiyo CCM si iko hivyo hivyo😃😃 Kwa hiyo zito analipa kisasi kwanini chadema wakristo 90%,akaona isiwe tabu ngoja nami niweke baraza la maulamaa tuone nani zaidi..kwa siasa za dini hizo wapinzani watakuwa wasindikiza ccm mpaka mwisho wa dunia.