Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

Mkuu,unajua iko hiv, Mh ZZK ni kijana aliyewekeza karibu maisha yake yote kwenye siasa, na watu kama hawa ni wakupongezwa mno, unapowekeza maisha yako Kwa ajiri ya wengine ni Jambo la heshima Kwa Mungu na Kwa wanadamu pia

Lakini sasa katika uwekezaji wa Aina hiyo, na Kwa sababu uwekezaji huu unaupinzani, na kuna kila Aina ya Mbinu chafu kuhakikisha watu wengine hawapati nafasi ya wao kufikia malengo yao, ni lazima sasa, uingie Kwa akiri kubwa kuliko wao

Tageti yako iwe Mbele mara mbili kuliko wapinzani wako, ZZK ameonyesha kushindwa mapema Kwa wasiopenda uwepo wa ushindani, Agenda ya wapinzani wake ameshawaonyesha ili waitumie, Ila kama amewalenga Wazanzibar hapo sawa

Sasa wafanyeje wakati ndo waliochaguliwa
 
ACT wazalendo hii imebadilika. Sio kama ile ya Akina Mwigamba, Kitila na Mama Anna. Kiufupi tuu, ujio wa Maalim Seif na team yake, ulibadilisha uelekeo na siasa za ACT, soon sura za ACT mpya iliyoshehen Uzanzibari kwanza na Uislam kwanza itakuwa dhaahiri.
 
UDINI wa Tanzania unashangaza kidogo, endapo taasisi itakuwa na Waislam hata 40% itatangaziwa udinI, lakini kukiwa na wakristo hata 95% hapo hakuna UDINI utaambiwa wanastahili ! Ukiangalia percentage za dini CCM, CHADEMA na ACT almost zinafana! Ila wanazi wa CHADEMA na CCM hapa wameungana kuituhumu ACT!
 
Kwa mujibu wa Uongozi wa vyama vikuu vya siasa nchini TZ ,mgawanyiko wa nafasi za uongozi wa juu kidini unafanana sana,
Sijui kama kuna wanaodhani suala la dini nalo lizingatiwe kwa kupewa kipaumbele cha 50 kwa 50 kama suala la wanawake?
hebutupieni macho Sammary hii:-
ACT -Wazlendo
Wakiristo 4/23 = 17%

waislamu 19/23 = 83%

CCM
Wakiristo 10/13 = 77%

waislamu 3/13 = 23%

CDM
Wakiristo 12/15 = 80%

Waislamu 3/15 = 20%
 
What a waste of money trying to lift up and support what I believe are the lowest of the low in terms of IQ in society: pregnant teens in rural areas. These individuals should be taken as nothing more but birth machines, the younger they happen to be, and the more sons they give birth to, the better. Nobody should spend trillions trying to educate cunt.
 

Swali la Msingi:
Kwanini Taasisi ikiwa na Wakristo asilimia 95% haionekani kuwa ni ya Kidini na inaonekana kuwa ni saw a tu!
Lakini Taasisi kama hiyo ikiwa na asilimia 70% tu ya Waislamu inaonekana kuwa ni ya Kidini?


Ukiangalia CHADEMA:

Katika Wabunge wake wote hesabu WAKRISTO ni wangapi na WAISLAMU ni Wangapi?

Angalia Viongozi kuanzia M/Kiti, Katibu Mkuu, Msemaji, na Viongozi wengine wa Ngazi zote kuanzia mpaka Mikoa, Wilaya, Kata na Vijiji! Angalia Viongozi wa BAVICHA kwa Ngazi zote.
Halafu jiulize je Waislamu ni Wangapi? Na Waktristo ni Wangapi?
Je yupo aliyehoji kuwa CHADEMA ni Chama cha Wakristo?

Kwanini inapotokea Waislamu kuwa wengi Kwenye Chama au Taasisi yoyote ile munakimbilia kuhoji kuwa Chama/Taasisi hiyo ni ya Waislamu?

Wakati ZZK anahamia ACT aliungwa Mkono na Wanakigoma ambao wengi wanajuilikana kuwa ni Waislamu! Je alipaswa awakatae ili abalance Chama?

Zanzibar asilimia 99% ya watu wake ni Waislamu! Je ilipaswa Wazanzibari Wakodi Wakristo kutoka Kilimanjaro kwenye Vyama vyao ili wabalance nafasi za Uongozi?

Tuacheni propaganda za kudhoofisha wengine, ZZK nayeye ana haki ya kuwa mwanasiasa sio kwakuwa ameondoshwa Chadema ndiyo muanze kumuandama kila uchwao.
 
Tatizo la Tanzania ni Mfumo kristo,
Halali kuwa wao viongozi,haramu kuwa waislamu viongozi.
Abudu jumbe aliyaona haya na kuyasemea kwenye kitabu chake 'The partner ship'
 
Kaka hawa ndugu zetu wanaroho mbaya ya udini sana mfano sasa hivi Magufuli teuzi kibaoo ni wakristo lakin hakuna shida ila kipindi cha jk kuteuwa waislam kiasi tu povu kweli mfumo kristo unasumbua sana hata wasomi wengi wananasa kwenye huu mtego wamtazamo wadini hasa hawa wenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi wala sihesabu idadi ya viongozi! Kwangu mimi wawe wakristo wote au waislam wote hakuna shida kabisa. Tatizo ni namna chama kinavyojitangaza hadharani na kwa kisiri. Tuliona CUF ilivyokuwa inasambazwa misikitini. Na hii Wazalendo nayo inafuata mkumbo ule ule.
 
Hii utasema Baraza la maaskofu
 
Hii utasema Ni Baraza la maaskofu
View attachment 1407833
 
Yeah! Kweli kabisa mimi Mkatoliki mzuri tu! Yaani sjui inatokana na nini. Jina la Kiislam katika nafasi za uongozi hapa kwetu bado lina shida kidogo.

Nadhani tupambane na kumuomba Mungu taratibu tuachane na hii dhana ya kijinga. Yaani mimi nilifikia hatua nikawa nayatazama majengo ya pale daraja la Mwalimu Nyerere(Daraja la Kigamboni) kama yana sura ya Misikiti vile..lakini nikaja kugundua ni hisia za mfumo Kristo.

Waislam wa Tanzania pole sana sema na nyie mnaathiriwa zaidi na tabia za kihuni za wenzenu wale Magaidi wanavaa mabomu na kujilipua.. Alafu ona sasa Wayahudi na Wamarekani wanaua watu kuliko magaidi lakini sisi tunayaona ya Magaidi. Ahahahah pole sana wazee wa Lwakibaro
 

Lengo lako la huu uzi ni nini? Ungelituekea na za CCM na CHADEMA tukalinganisha.

Na mbona umesahau kuwaeka Makamo mwenye kitu pamoja na Naibu katibu wa bara? au ndio wangepunguza mng'aro wa uzi wako?

Acha propaganda uchwara ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…