Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

Tatizo la wagalatia ni wadini sana.
Chuki yao dhidi ya waislam ni kubwa kuliko mapenzi waliyonayo kwenye kitu chochote ikiwemo
nchi Tanzania
Na hiyo ndio sababu CCM kuondoka madarakani labda baada ya miaka 200 hivi.
 
Naona kama udini umewatafuna vile[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Act wazalendo imejaa viongozi waandamizi wa kiislamu wote kwahili zito kabwe kachemka mno.ACT ni mbadala wa Cuf

Sent using Jamii Forums mobile app

Chadema imejaa Viongozi Waandamizi wa Kikristo kwanini hili unalifumbia macho ewe mtaalamu wa siasa?

Mbowe?
Mnyika?
Mrema?
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
............
 
Udini mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi ninajipa ‘Cheo’ cha Mtabiri maana huu Umoja wa Maalim Seif na timu yake kutoka Visiwani kwa upande mmoja, na Mhe. Zitto kwa upande wa pili, una mapungufu makubwa machache ambayo kamwe hayawezi kuuacha umoja huo salama na udumu kama utapitia ‘misukosuko’ ya kisiasa na kiuchumi. Baadhi ya mapungufu hayo ni ubinafsi uliopitiliza na uchu mkubwa wa madaraka. Kwa cheo nilichojipa hapo mwanzo, natabiri kwamba endapo chama chao kitashindwa kuchukua dola kwenye chaguzi zijazo, basi umoja huo utakufa. Natabiri pia uwezekano wa Mhe. Zitto kuja kufukuzwa kwenye Umoja huo endapo atakuja kukosana au kutofautiana sana na Maalim Seif. Kwa kuungana na CUF ya Maalim, Mhe. Zitto anafikiri amelamba turufu ya kisiasa, lakini kutokana na hulka zao Umoja huo utamletea Mhe. Zitto maumivu makubwa ya kisiasa ambayo hakuyategemea. Naombeni mkumbuke ‘utabiri’ wangu siku za usoni.
 
Tatizo la wagalatia ni wadini sana.
Chuki yao dhidi ya waislam ni kubwa kuliko mapenzi waliyonayo kwenye kitu chochote ikiwemo
nchi Tanzania
Na hiyo ndio sababu CCM kuondoka madarakani labda baada ya miaka 200 hivi.
Mkuu, iko hivi, nchi yetu karibu 98% tunaishi kidugu, haijalishi wewe ni mgalatia ama ni muulamaa, angalia jamii inavyoishi kitaani, na nashangaa Kwa nini Bwana ZZK hajifunzi katika vitu vidogovidogo vinavyoifanya jamii ikae bila bughudha yoyote,

Kwenye Nyumba ya Mgaratia, Muislamu anakaa, nyumba ya Muislamu,Mgalatia anakaa tena Kwa Amani haswaa

Mgaratia anaoa Muislamu vivyohivyo Kwa Waislamu pia, Kwa hiyo kiukweli asilimia kubwa mtu akisema juu ya Tanzania kuna udini ni muongo

Tatizo liko tu kwenye hiyo 2% ilobaki, hawa watu ndio utakuta anmeweka mipaka eti kwamba anaijua Sana dini kuliko Huyo Mungu mwenye Dini yake,
Utakuta, amejitenga, hataki kushirikiana na mtu wa dini tofauti na yake, anasahau kwamba, Mungu ni Upendo na Mungu anawapenda watu wote bila kujali tofauti za Imani zao, utakuta SASA mtu mdini, hapangishi nyumba zake Kwa Mgaratia ama Mgalatia kumpangisha Muislam kisa, si wa Imani yake

SASA, mitaani ndio watu wanaozungumzwa saaana kuhusiana na tabia zao hizo, na asilimia kubwa watu hawa hawana marafiki na watu Kwa kujitenga kwao eidha Kwa kuitwa wanaroho mbaya, n.k n.k

Na asilimia hiyo ndiyo inayosumbua hata kwenye mitandao kuonyesha rangi zao,

Kwa kuwa watu hawa ni Watanzania wenzetu na Wao wameamua kuishi hivyo, hatuwezi kuwapuuza, linapokuja swala la kitaifa linalogusa jamii yote basi ni vema kutambua uwepo wa hawa watu, watu hawa ukiwapuuza kunanamna wataungwa tu mkono Kwa hoja zao, na hivyo sasa, ni vema Sana miundo hii ya Vyama vyetu visipuuzie haya Yasemayo ili kuondoa makandokando, kwani kunahasara yoyote ukizingatia Hilo?
 
Chama hakina watu kile acha wapangane hivyohivyo.
very good point , you are true JF member! great thinker!!wengine wanafuka moshi tu! yaani kama hawa jamaa wako wenyewe watupu mezani na wakisimama vikao ni pale tu kwenye sauti yenye kuweza kupasua anga hadi mbingu ya saba na hasa composition iko clear ikionesha kina nani wanavutiwa zaidi kujiunga na chama chao na ikionesha labda wameridhika na membership recruitment strategy yao inayoonesha ndege wafananao huruka pamoja basi tusubiri wakati mwingine kwa maana sasa wako wenyewe wakina bin tippu tip inabidi wachaguane wenyewe kwa wenyewe!! baba alisema dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu , kabla hujatoa kibanzi cha kina sultan anza na boriti lako chini ya kamanda DJ! hebu panga safu ya ufipa hapa uaibike! tuache ubaguzi sababu mwalimu anasema ukimbagua mtu au kabila dini au eneo nanyi mtaanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe hadi ndani ya familia,mwisho utajibagua wewe mwenyewe yani ushike upande wa mama au baba, nako utabagua!!
 
Huu ndio uhalisia
Unapo sema udini,huu sio unaokusudiwa
Wenzetu wanadhani Tanzania yote ni haki miliki yao
Si ndo huu unaoitwa (Mfumo kristo)
 
😃😃 Kwa hiyo zito analipa kisasi kwanini chadema wakristo 90%,akaona isiwe tabu ngoja nami niweke baraza la maulamaa tuone nani zaidi..kwa siasa za dini hizo wapinzani watakuwa wasindikiza ccm mpaka mwisho wa dunia.
Na hiyo CCM si iko hivyo hivyo

Wakiristo 80%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…