Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

Mfummo huuu ndo ilivyo kila Mkoa wa T/Bara.
Halmashauri ninayoifanyika Kazi.

NGAZI YA MKOA:
1) RC - Mkristo (RC)
2) RAS - Mkristo (RC)
3) Mkuu PCCB - Mkristo (RC)
4) RPC - Mkristo (RC)
5) RMO - Mkristo (RC)
6) RSO - Mkristo (TAG)
8) Mwenyekiti CCM - Mkristo (RC)
9) Mwenyekiti Chadema - Mkristo (RC)

NGAZI YA HALMASHURI:
1) DC - Mkristo (RC)
2) DAS - Mkristo - (RC)
3) DSO - Mkristo - (RC)
4) DED - Mkristo (Lutheran)
5) Mkuu PCCB - Mkristo (RC)
6) OCD - Mkristo (RC)
7) DMO - Mkristo (RC)
8) Mwenyekiti Chadema - Mkristo (RC)
9) Mwenyekiti CCM - Muislamu (Bakwata)

Sasa hapo hakuna anayehoji kuhusu Udini hapo na kila Mtu anaona ipo sawa.
 
Msitutoe kwenye reli. Kazi yetu ni kumng'oa mkoloni mweusi. Hii ni safu njema isiyonunulika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hapa ni Cabinet Ministers Mfumo ni huo huo Ukiristo 80%
Ndo maana wanaona ni makosa Kwa ACT
Hawa wameshazowea Udini na wanajuwa kuwa hivyo ndio haki kwao,kinyume cha ivyo wanalalama.
Hata ingelikuwa 50/50 bado wangelisema Baraza la Bakwata serikali.

Na serikali ya CCM ni hivyo hivyo
Siro AGP
George Masaju AG
Isack Aloyce Kamwelwe MP
William Lukuvi MP
Harrison Mwakyembe MP
Alphaxard Kangi Lugola MP
Joseph Kakunda MP
Augustine Mahiga MP
Philip Mpango MP
Angellah Kairuki MP
Medard Kalemani MP
Palamagamba Kabudi MP
Joyce Ndalichako MP
Luhaga Mpina MP
Japhet Hasunga MP
Jenista Mhagama MP
George Simbachawene MP
George Mkuchika MP
Hamisi Kigwangalla MP
Ummy Mwalimu MP
Hussein Mwinyi MP
Selemani Jafo M
Kassim Majaliwa MP
Makame Mbarawa MP
 
SASA TAZAMA WACHANGIAJI WATASEPA MMOJA MMOJA
WANADHANI HATUYAONI HAYA ILA TUNALINDA UMOJA WA KITAIFA TUU.
LAKINI TUKIAMUA KUWATOKEA ,
HAPO TUTAELEWANA KWENYE SHINGO.
SHA ... SHA... SHA....SHA
HADI MUKUBALI USAWA HAKI BIN HAKI
PUMBAVU ZENU
 
Boss MsemajiUkweli Si Asa ni kama Mpira wa Miguu aka Soccer aka Football aisee, Ni mchezo wa Makosa
Ukifanya Kosa wenzako wanakutandika. Naona MCC washapata Fimbo.


 
Tatizo ni mkiwa nusu kwa nusu mkiungana na Wazanzibar lazima muone mnavyoona na ukichanganya na ISLAMOPHOBIA ndio balaa huenda na vyama vingine vipo hivyohivyo kwa upande wa dini zingine.
Wewe umeona nini kwenye safu ya viongozi wa juu wa ACT-Wazalendo!
 
The problem here is that we combine two different things, between the government and the Party structure

Shida ndiyo iko hapo, uzuri wa ACT ni wako wazi hawataki kujifichaficha kama Vyama vingine, wewe ukiona si sawa, shauri yako, na utakayeona Sawa ni Sawa,

Lakini mtu mwenye maono makubwa, hakatai ushauri na hawezi kudharau hata kama ni kakikundi kadogo
 
Halafu Jambo lingine, kwenye Uongozi wa Vyama vyetu hivi, WANAWAKE ni kama wamesahaulika Sana, sijui ni Kwa nini aisee, hili ni Kwa Vyama Vyote, hili nalo haliwezekani, hili ni la kutilia mkazo, haiwezekani WANAWAKE ndio wapiga Kura wazuri ndio wahamasishaji, halafu hawapewi nafasi why
 
Ili kutimiza matakwa yako, Umemtaja MShauri Mkuu na kumuacha Makamo Mwenyekiti Bara Mama Dorothy Semu!!Umemuacha Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Joram Lehwabura Bashange na Kumtaja Naibu Katibu Mkuu Znz Ndugu Nassoro Mazrui ! Unashangaza Sana

Unataka Kuturudisha Nyuma katika Mapambano kwa Miaka 20 Nyuma kma mlivofanya kwa CUF, Kwa Muda wote CUF mliifanya ya Waislamu kwa Bahati Mbaya wimbo huo uliimbwa na Wapinzani Pia ( Chadema) pasi na Kujua kuwa kazi hiyo Ilikuwa inainufaisha CCM. Ujinga huu Watanzania hatutakiwi kuurudia tena.Mpinzani anaehubiri hilo ni bora akatengwa yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigango Maana huyo Bashiru yupo km Tai inaweza kuondolewa isiharibu show

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo ni safu ya uongozi wa chama au uongozi wa msikiti?
 
Naona kigango cha parokia ya Lumumba kimekamilika. Paroko Pole Pole anakula tu kitimoto hadi amevimbiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…