Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

Ila nakumbuka hichi chama cha Muslim Brotherhood cha kule misri kilikuja kutangazwa ni chama cha kigaidi na kilifutiliwa mbali na wanachama wake walikamatwa kwa kujihusisha na ugaidi.
Kama upo huko kwenye hicho chama toka na ukimbie sana, ohooo
 
Tunazungumzia siasa za Tanzania usilete usukule wako kutupeleka misri dada
Hata Mandela walimuita gaidi
 
Dini gani zimebalance CCM?
Kwani Tanzania kuna dini ngapi zilizo na waumini wengi?

Je ukianzia kwa mwenyekiti, makamu wa mwenyekiti wawili, karibu mkuu, na naibu katibu wakuu wawili, viongozi wa sekretariati, wenyeviti wa mikoa na makatibu wao mikoa. Angalia CC na NEC agalia uone kama kuna upendeleo wa kidini, kikabila au kikabnda.
 
Nimejikuta naikumbuka NSSF ya Dr. Ramadhan Dau
Mimi nimejikuta nakumbuka mashambulizi ya CCM dhidi ya CHADEMA enzi zile. UKRISTO. enzi hizo Willbrod Slaa akiitwa Padri Slaa, ili kuweka msisitizo. Kuna wakati pia familia ya Slaa ilikuwa ishu. Pia kulikuwa na UCHAGA, UKASKAZINI, nk. Zote zilikuwa "siasa", ambazo mara nyingi huelekezwa kwa kwa chama cha UPINZANI kinachoinukia.

Ndio maana kuna mtu kaomba uchambuzi kama huo ufanyike pia kwa vyama "vidogo".
 
Iweke hiyo safu ya uongozi tuione wenyewe, usituletee maneno mingi unasound kama wale jamaa wa tuma elfu 5 nikuunge group la xxxxx
 
Iweke hiyo safu ya uongozi tuione wenyewe, usituletee maneno mingi unasound kama wale jamaa wa tuma elfu 5 nikuunge group la xxxxx
Tafuta uweke sio uwekewe kila kitu
 
Iweke hiyo safu ya uongozi tuione wenyewe, usituletee maneno mingi unasound kama wale jamaa wa tuma elfu 5 nikuunge group la xxxxx

Hiyo ni homework yako, msipende kutafuniwa kila kitu.
 
Tatizo ni mkiwa nusu kwa nusu mkiungana na Wazanzibar lazima muone mnavyoona na ukichanganya na ISLAMOPHOBIA ndio balaa huenda na vyama vingine vipo hivyohivyo kwa upande wa dini zingine.
 
Hiki chama nimejaribu kukielewa kwa miaka kadhaa, nikiri wazi kwamba nimekishindwa. Labda akili na macho yangu yana matatizo.
Mkuu;
Usikate tamaa, jitahidi labda huko baadaye utakielewa vizuri!
 
Mbona kama safu ya uongozi wa taasisi ya kidini?

Hivi ACT hakuna wakristo huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo makanisa mengi siku hizi mafundisho yao makuu ni umbea,majungu na chuki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…