Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!


Uongozi wa CCM wakiristo >>>> 78.9%
 
Uongozi wa ACT Wazalendo
Waislamu >>>>> 79%
 
Alif, beer, teee, jimmmm!
Hao ndo watanzania,tulivyo hatubaguani,tunaingia kwenye vyama vya siasa kwa hiari.
Hutaki Alif Bee Tee neda CCM ( Bwana asifiwe sana) chaguo ni lako.
sisi ni Taifa moja tuna uhuru wa kuchagua chama tukipendacho.
 
Udini

Udini

Udini

Udini
 
Nabii adamu mpaka nabii mohamed wote walikuwa waislamu manabii wote walikuwa waislamu sio wakristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikukumbushe tu, uislam hauna miaka hata 1500, wakati sasa hivi ni mwaka 2020; ukibisha, nenda kwenye kalenda yoyote ya kiislam then angalia hu ni mwaka gani kwa mujibu wa kalenda yao. Usilete habari za kwenye kahawa.
Binafsi sina tatizo na hiyo list but nimestushwa na upotoshwaji wako
 
Hawa wengi wao elimu ya dunia imewapitia kushoto
 
Duuh! Chama cha mtume mhamad [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimegundua kwamba hawa wenzetu hawana CHUKI bali WANATUOGOPA, waambie wapitie Baraza la Mawaziri, Wakuu wa Wilaya, Mikoa, Wakurugenzi, Wakuu wa Idara Vitengo kisha waje wajenge hoja hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…