Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

Mkuu nimegundua kwamba hawa wenzetu hawana CHUKI bali WANATUOGOPA, waambie wapitie Baraza la Mawaziri, Wakuu wa Wilaya, Mikoa, Wakurugenzi, Wakuu wa Idara Vitengo kisha waje wajenge hoja hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app

Uoga uliochanganyika na chuki, choyo, ubonafsi na roho mbaya

Magufuli kateua zaidi ya 90% ya Teuzi zake zote wakiristo lakini you will never hear them saying anything.

Ukiwagusa wao husema kuwa "Hateuliwi mtu kwa dini yake bali vigezo"
 
 
Hao ndo watanzania,tulivyo hatubaguani,tunaingia kwenye vyama vya siasa kwa hiari.
Hutaki Alif Bee Tee neda CCM ( Bwana asifiwe sana) chaguo ni lako.
sisi ni Taifa moja tuna uhuru wa kuchagua chama tukipendacho.
Mbona povu, umelazimishwa?
 
Mkuu nimegundua kwamba hawa wenzetu hawana CHUKI bali WANATUOGOPA, waambie wapitie Baraza la Mawaziri, Wakuu wa Wilaya, Mikoa, Wakurugenzi, Wakuu wa Idara Vitengo kisha waje wajenge hoja hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hapa umezingumzia vitu viwili tofauti,

Hapa tunaangalia namna Chama kinvyopaswa kiwe na Sura ya kitaifa, uliko kutaja huko kuna watumishi wengine waliteuliwa wakitokea Vyama vingine, maana yake ni kwamba unazungumzia uendeshwaji wa Serikali na Sio muundo wa chama

Hili nalo labda lianzishiwe nyuzi yake,
 
Udini haitaiacha Salama ACT wazalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hii safu ya Uongozi Wamejazana Wavaa Vipedo na Wafuga majini, Zitto ajipange bana
 
Hii orodha imenipa maswali mengi sana!
 
Na hapa ndio shida ya wana CCM inapokuja, huwa mnashindwa kuwa wakweli mnaongozwa na propaganda.

Ni hivi Zanzibar 99% ni waislam hivyo ikitokea umeweka viongozi kwa kubalance bara na visiwani ni obvious waislam watakuwa wengi tu hata bunge la katiba waislam walikua zaidi ya 50% sababu wote kutoka zenji walikua waislam.

Kingine husemi naibu katibu mkuu bara ni JORAM.... Husemi makamu wa maalim ni DOROTHY ila umewaruka kwa maksudi ili ujengee hoja yako.

Magufuli alipoteua wakristo na kada ya ziwa wengi zaidi kuliko awamu yeyote mlisema anaangalia utendaji sio dini ila inapotokea zitto akaweka wazanzibar wengi sababu ya utendaji wao (Ndio sehemu yenye upinzani imara Tanzania) wewe umeangalia udini pekee.

Ni hivi hao hawajateuliwa ni kura zimepigwa ina maana vigezo, shida inakuja huna vigezo ila unateuliwa sababu ya dini. Hapo ndio hoja ya udini inakua na msingi.

Kiufupi nlidhani wewe ndio mwana CCM walau uliye na hoja za mashiko humu jukwaani ila kuanzia leo nimekudharau rasmi.
 
Nitajie hicho chenye sura ya kitaifa tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnataka kushika dola halafu mnajitetea kuwa makosa yenu wengi wameshayafanya? You must be kidding!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…