Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Nakubali. Lowasa yule mzee Mungu anamuona😅😅Nikwambie Kweli,
Vijana wakijitokeza wahuni huiba kura lakini wanashindwa,
Uchaguzi wa 2015 vijana wakijitokeza kuhakikisha Nchi inapata mabadiliko bila kujali ufisadi wa Lowwaaa bt mshindi akawaangusha wapiga kura Kwa kutotoka kudai HAKI ya ushindi,
Tulishuhudia wakichoma kadi za kura na kuapa kutoshiriki tena chaguzi,
So Lissu kama Makamo ajue kuwa vijana kura za Siri hawaziamini tena,
Mkutanoni watakuja, kuja kupiga kura hawajui!!!!
Hilo linahitaji Mbingu za haraka,
2024 Iko mlangoni!!!