Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #41
John mnaa sana yule anajulikana yeye na Paul.Pigo kubwa kwa johnthebaptist na genge lake!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
John mnaa sana yule anajulikana yeye na Paul.Pigo kubwa kwa johnthebaptist na genge lake!!
Kwani ana dhambi gani?Haji tena kutubu.
Tatizo ni pale anapoingiza mambo ambayo hayahusiani na wala hayana ushahidi. Kwa mfano kusema nyumbani kwa marehemu Magufuli kulikutwa mamilioni ya Dola. Kitu kama hiki kwa nini kijulikane sasa tu miaka yote hii baadaya kifo? Jee, anao ushahidi? Kauli hii inalenga nini? Kauli hizi zinampunguzia sapoti badala ya kumuinua.Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti.
Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
Watasafirisha kwa mabasi na malori toka maeneo mengine wajaze nyomiNa poleee... ila Lissu kapoteza nguvu na jasho lake sana kuipigania kanda ya ziwa ndo maana anaeleweka na kukubalika sana! CCM haina ubavu wa kuita mikutano nane na ikajaa kwa siku...
Wanamuita Dalali wa mabeberu ni ukweli kwamna hawamjui Tundu Lissu. Tena huko kanda ya ziwa wanamjua vyema sana, maana huko alipiga kabisa kambi ya mapambano yake kwwnye mambo ya madiniAisee hii program inayoemdelea imempa fursa Tundu Lissu kujisafisha uchafu woote aliovikwa eti ni Dalali wa mabeberu. Amefutilia mbali.
Kanda ya ziwa hawadanganyiki. Hawasimuliwi bali wanaujua ukweli wameishi nayeWanamuita Dalali wa mabeberu ni ukweli kwamna hawamjui Tundu Lissu. Tena huko kanda ya ziwa wanamjua vyema sana, maana huko alipiga kabisa kambi ya mapambano yake kwwnye mambo ya madini
Basi tu ccm hawana hurumaNa poleee... ila Lissu kapoteza nguvu na jasho lake sana kuipigania kanda ya ziwa ndo maana anaeleweka na kukubalika sana! CCM haina ubavu wa kuita mikutano nane na ikajaa kwa siku...
Chizi huyoMazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti.
Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
Wananchi hawatakuelewa. Bali watakuona wewe ndio ChiziChizi huyo
Ng'ombeNamsubiria huku kaburini aje kutubu bado hatujasahau atanikuta nimuhoji maswali yangu muhimu.
Hata hivyo nilijuwa siku itafika wanao mchafua jpm ndo watamsafisha wenyewe.
😅😅
Umecheka mkuu[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
Sijui ulimanisha nini
Bi dada mjinga sana huyuSijui ulimanisha nini
Naona umemchana hahahaha
SahihiLabda muutengue mkataba wa DPW. Hivihivi hatuwaelewi, tuko na Lissu kwa sasa.
Haijalishi iwapo vijana walisusa au la...Nakubali zoezi lilichafuliwa,
Na tuliona wazi kura feki,
Lakini pia ni UKWELI usofichika kuwa ushiriki wa vijana ktk uchaguzi 2020 ulikuwa chini sana.
Data za Nec za waliojiandikisha, waliojitokeza kupiga kura ni chache sana.
Vijana acheni ujinga, maisha ni HALISI Si Bahati, acheni Betting na ulevi, na UZINZI,
Wazazi wamechoka kuzika vijana wao before time!!!
Simba na Yanga mnajitokeza, mkiambiwa changieni harakati za siasa, mnadai nati zimekaza!!!
Tubadilike 🙏🙏🙏
Hakuna uchaguzi Tanzania, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ulijuaje kama alipata kura chache wakati karatasi za matokeo zilikuwa za kuchakachua?Ni Kweli anapata mapokezi makubwa,
Jitihada zinahitajika kuwarudisha vijana kushiriki HAKI Yao ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa.
Kuna ujinga wanaambukizana kuwa kupiga kura ni ujinga sababu Eti zinaibwa!!
Wapo wengi walisusa hata kuhesabiwa sensa,wengine walisusia zoezi la Nida vile vile.
Lissu akipata kura chache sana 2020 sababu kuu ni vijana kususia uchaguzi.
CDM msisahau jambo Hilo muhimu.
ELIMU, ELIMU, ELIMU YA URAIA🙏🙏🙏