Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #21
Nakubali. Lowasa yule mzee Mungu anamuona😅😅Nikwambie Kweli,
Vijana wakijitokeza wahuni huiba kura lakini wanashindwa,
Uchaguzi wa 2015 vijana wakijitokeza kuhakikisha Nchi inapata mabadiliko bila kujali ufisadi wa Lowwaaa bt mshindi akawaangusha wapiga kura Kwa kutotoka kudai HAKI ya ushindi,
Tulishuhudia wakichoma kadi za kura na kuapa kutoshiriki tena chaguzi,
So Lissu kama Makamo ajue kuwa vijana kura za Siri hawaziamini tena,
Mkutanoni watakuja, kuja kupiga kura hawajui!!!!
Hilo linahitaji Mbingu za haraka,
2024 Iko mlangoni!!!
Amefanya mkutano kwa mafanikio sana hapo Chato.Namsubiria huku kaburini aje kutubu bado hatujasahau atanikuta nimuhoji maswali yangu muhimu.
Hata hivyo nilijuwa siku itafika wanao mchafua jpm ndo watamsafisha wenyewe.
Kafie mbeleWanaufurahia UKATUNI WAKE TU... sarcastic kazini....
Hajaomba radhi kuwatetea barick hadharani dhidi ya wananchi waliojitutumua kupinga uhuni na uhujumu wa makaburi!!!Aisee hii program inayoemdelea imempa fursa Tundu Lissu kujisafisha uchafu woote aliovikwa eti ni Dalali wa mabeberu. Amefutilia mbali.
Ndio kusema umekubali sasa anavuma?ngoma ikivuma sana...
Mbona hilo kila mahali analifafanua vizuri tu labda hujafatilia mikutano yake.Hajaomba radhi kuwatetea barick hadharani dhidi ya wananchi waliojitutumua kupinga uhuni na uhuzumu wa makaburi!!!
UKWELI Huwa unajitetea, ajisafishe pia ktk Hilo!!
Hata 2020 kama isingekuwa ule ushamba ulofanywa Mara na Kagera ccm wasingeshinda hata jimbo moja.nionavyo majimbo mengi sana kanda ya ziwa yatakwenda upinzani
2020 haukuwa uchaguzi ule. Ni Ugaidi😅😅Hata 2020 kama isingekuwa ule ushamba ulofanywa Mara na Kagera ccm wasingeshinda hata jimbo moja.
Mwanza wangepoteza pia na Simiyu ila Geita wangepoteza Busanda na Geita mjini tu
Angle ninayoiongelea kumkosia Lissu kukosa UZALENDO,Mbona hilo kila mahali analifafanua vizuri tu labda hujafatilia mikutano yake.
Kama uliona Kilichomkuta Prof Muruma kuke ICSID utamwelewa Lissu.
Hata Mwigulu sasa kaelewa nini maana yake.
soma mada.Ndio kusema umekubali sasa anavuma?
Alishauri kuwa mikataba ipelekwe mezani iboreshwe ila sio kukurupuka kukamata mali zao watatushinda. Enzi zile kwa mtu short sighted angedhani Lissu anatetea wazungu.Angle ninayoiongelea kumkosia Lissu kukosa UZALENDO,
Ni kuajiriwa na makaburi kuwatetea katika case dhidi ya sirikali yake ktk issue za madini!!!
Alionyesha conflict of interest, atubu au afafanue na Hilo pia!!!
Ulikuwa ni upuuzi2020 haukuwa uchaguzi ule. Ni Ugaidi[emoji28][emoji28]
Hii ni wivu tu. Watu wema tunamwelewa.Wanaufurahia UKATUNI WAKE TU... sarcastic kazini....
Njoo Mbeya Tupo Tayari..Na poleee... ila Lissu kapoteza nguvu na jasho lake sana kuipigania kanda ya ziwa ndo maana anaeleweka na kukubalika sana! CCM haina ubavu wa kuita mikutano nane na ikajaa kwa siku...
Pigo kubwa kwa johnthebaptist na genge lake!!Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti.
Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
Haji tena kutubu.Amefanya mkutano kwa mafanikio sana hapo Chato.
Kuna watu walisubiri asusiwe mwisho wameishia maumivu tu.
Wananchi kwa sasa hawadanganywi wanajionea kwa macho na maisha magumu ni ushahidi tosha ccm imefeli kila kitu
Vijana acheni zinaaBila video na Picha hio ni sawa na Audio Porn
Na Chongolo pia anashangiliwaKushangiliwa hata kuku wanashangiliwa,lowassa alishangiliwa,slaa alishangiliwa,mbowe anashangiliwa ...kushangiliwa Haina maana unaaminika ! Unaweza kushangiliwa hata kwa upumbavu ,sio kila anaecheka umemfurahisha! Kuna anaecheka kwa kukuona kituko