Hii Simba SC hata ukitangulia goal 4 lazima upigwe TU kila GoTi litapigwa 😁

Penati ni Mbeleko wa wazi , FVS takataka

Refa alionekana tokea alitoa Kona mbili za Bure kwa Simba .

Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja
 
Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuoano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja
Hahaha
 
Simba walitakiwa leo wafungwe wana ujinga mwingi sana halafu kocha awe anaangalia upangaji Chama muda mrefu hakuwa kwenye kiwango, Maema kapoteza pasi nyongi halafu sio mzuri kwenye ukabaji, Mligo utoto mwingi sana halafu anakabia kwa macho.
 
Penati ni Mbeleko wa wazi , FVS takataka

Refa alionekana tokea alitoa Kona mbili za Bure kwa Simba .

Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja
Timu yako ni ipi kimataifa? kwanza pole mkuu unaumia sana?
 
Penati ni Mbeleko wa wazi , FVS takataka

Refa alionekana tokea alitoa Kona mbili za Bure kwa Simba .

Naacha kufuatilia NBC nalinda IQ yangu , mpira wetu ni maigizo , tukutane michuano ya Kimataifa aibu kubwa itakuja
Ubaya Ubwela wa ukweli ndio awamu hii.
Na mamluki wenu Mangungu tunamfurusha hivi karibuni, mbona uto huu mwaka mtaacha na ⚽ kwa ujumla kuhamia masumbwi ya kina mandonga na Mwakinyo.
Aloooo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…