Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Mwanamke pekee wa kumsaidia ni mama mzazi huwa wana uchungu sana na pesa za watoto wao
 
Kaa na hela zako na yeye akae na utelezi wake ,ngoma droo.
 
Ndio hivyo mkuu ishi nao kwa tahadhari, ukiona red flag tu jiandae kuitumikia Ndoige
 
We jama au a umri gani? Unamlaum wakati hujawahi kumtongoza hata meseji zake hujibu?
 
Balehe bhana, zinasumbua sana vijana.
Ushauri wangu kwako, endelea hivyo hivyo kuwapotezea hao wadada. Ikimbie zinaa maana imeandikwa; "afanyaye zinaa hana akili kabisa" (Mithali 6:32)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…