Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Yaan elfu 10 mpaka unaiandikia Uzi inaonyesha jinsi ulivyokua mshamba Sasa siku ukiombwa laki siutaenda report kituo Cha polisi
 
Bora umwombe mtu Mtaji wa biashara akupe kuliko hii ya kuomba kidogo kidogo Kila siku.

Baada ya hapo najua utakuwa na utimamu hata wa kujifunza style mpya ya kumfurahisha mwenzio 🙈🏃🏃🏃
Kila siku inaboa nn sasa? Wakati ndo inakukeep active 🤣

Ngoja nikamboe mtoto wa mtu huko 😁

Msaprise na mtaji
Akizingua mnyonge 🤣🤣
 
Mtaji? Si ndio tutaachwa kabisa [emoji1787]
Me napenda mtu wa hivyo, kwanza unajua kabisa una date na mtu anajielewa.

Kuna wengine unadate na mtu hata Mwaka Mzima hajawahi kuomba hata shilingi kusema ajaribu kufanya biashara XYZ yeye anaomba hela ya kwenda Movie, Kusuka, sijui Gesi n.k

Unajua wanasema, usimpe mtu samaki Bali mfundishe Kuvua
 
Wanaume wa siku Hz shida sana,sasa unataka mtoto wa kike aombe nini!asipoomba pesa?aombe akufulie nguo?!!,be realistic bana,acheni utoto.
 
Tuma screenshot tuone alkuombaje hyo hela
 
Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
Ataganda anataka muwe marafiki ila uwe una mhudumia pale akiwa na matatizo yake binafsi, shtuka mkuu wadangaji wamekuja na mbinu mpya, siku hizi wanataka urafiki tu ila chini wanaibana kisha wanawapa wasiowahudumia, wewe kazi yako ni kuwahudumia tu

Kuna mmoja nimemtembezea block juzi,
 

Mm nilijaribu hata majibu sikupewa [emoji1787] nilikoma hadi leo napambana na hali yangu.
 
Kila siku inaboa nn sasa? Wakati ndo inakukeep active 🤣

Ngoja nikamboe mtoto wa mtu huko 😁

Msaprise na mtaji
Akizingua mnyonge 🤣🤣
Nikupe mbinu, kabla hujamwomba hakikisha umempa hadi atosheke then unamwekea invoice ya huo Mtaji unaotaka.

Lakini hakikisha unampa na business plan yako kabisa, sio unataka Mtaji kumbe biashara hewa
 
Nikupe mbinu, kabla hujamwomba hakikisha umempa hadi atosheke then unamwekea invoice ya huo Mtaji unaotaka.

Lakini hakikisha unampa na business plan yako kabisa, sio unataka Mtaji kumbe biashara hewa
😂😂 somo taken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…