Uko sahihi % bukuPole, ila Wakati mwingine kabla hujaingia kwenye mahusiano na mtu vyema ukapata nafasi ya kumchunguza.
Ila wenye huo uwezo wa kutoa Mtaji wa biashara ni married Men. Try them
Kwahiyo bora kufanyaje? Ukiingia Buruguni unajiweka rehani na Maradhi ingawa ndiyo less costNaomba nikuhakikishie sheria mkononi inamadhara kishenzi nguvu nehi
Lakini ninauhakika ukikutana na maajabu ya mdomo kibogoyo+ sarakasi huwezi jutia sio!Pesa inatuuma jamani kwenye kuonga mtuonee huruma baada ya sex ndo huwa kama akili zinaturudiaga unaanza kupiga hesabu zote za vizinga ulivyopigwa unajiona mjinga haujaona maajabu K ni ileile tu 🤣🤣🤣
Chukueni desa hapa nyie vijana wa .com.Mzee baba inaonekana huna elimu sana ya sanaa ya utongozaji...
Mwanamke ili afahamu kuwa upo interested naye, si lazima umtamkie maneno "nakupenda, nakuhitaji au nimevutiwa nawe"...
Hayo maneno niliyoyaweka kwa rangi nyekundu, yanatosha kabisa kumwaminisha mwanamke kwamba unataka kuwa naye...
Umemkaribisha ghetto - Jinsi alivyotafsiri mwanamke ni kuwa unahitaji faragha naye na ghetto ni eneo salama.
Umemkaribisha kupika - Jinsi alivyotafsiri ni kwamba upo single, maana hakuna akupikiaye ila wewe.
Kwa nini kakuomba kitu cha ten, kama hana tabia za udangaji maana yake anataka kujua kama unajali na hauna mkono birika...
Ni uamuzi wako sasa kusuka au kunyoa maana wewe ndiye uliyemchokoza mwanzo kabisa...
We mama wewe 😂😂😂🙌😂😂 somo taken
Abee 🤣We mama wewe 😂😂😂🙌
Kelsea Chakorii hayo nayafahamu ila huyu mdada amenishangaza style yake ndo maana nimekuja kumuanzishia uzi, mm nshazoea kupigwa vizinga from day one, kutoka kwa wadada ambao mimi nawashobokea sana, ila Wao hawanitaki.Kunywa soda popote ulipo naja lipa
Mtu anaenda kuumizwa huko 😂😂😂Abee 🤣
Basi msilalamike na wao wakiwatia vizinga b4 mzagamuoPesa inatuuma jamani kwenye kuonga mtuonee huruma baada ya sex ndo huwa kama akili zinaturudiaga unaanza kupiga hesabu zote za vizinga ulivyopigwa unajiona mjinga haujaona maajabu K ni ileile tu 🤣🤣🤣
Hahaha hao kumbukumbu yao huwa haifutikagi akilini siku zote miaka buku. Wale wa kifo cha mende ubunifu 0+ kwa bed ndo huwa tunajutia sanaLakini ninauhakika ukikutana na maajabu ya mdomo kibogoyo+ sarakasi huwezi jutia sio!
Tafuta mmoja jitahidi kumjali Kwa chochote kitu uwe na uhakika wa game na sio sheria mkononi 🥹🥹🥹aise ni mbaya mnooKwahiyo bora kufanyaje? Ukiingia Buruguni unajiweka rehani na Maradhi ingawa ndiyo less cost
Mi kupigwa vizinga sikatai natoa kwa moyo mkunjufu ila nisichopenda kucheleweshwa kupewa kipochi manyoyaBasi msilalamike na wao wakiwatia vizinga b4 mzaga
Hiyo biashara ikianza kuleta faida usiache kuninunulia zawadi ya miwani huko Mjini 🤪[emoji23][emoji23] ngoja tutaangalia.
Nilichokiandika kule juu ndio jibu sasa. Mwanamke aliestaarabika hawezi kuingia kwa gia aloingia nayo huyo bidada. Hata kama kweli ana shida kuna namna ya kuingia hatutangazi shida mapema hivyo my friend.Kelsea Chakorii hayo nayafahamu ila huyu mdada amenishangaza style yake ndo maana nimekuja kumuanzishia uzi, mm nshazoea kupigwa vizinga from day one, kutoka kwa wadada ambao mimi nawashobokea sana, ila Wao hawanitaki.
Mm nimeshangaa huyu mdada kanishobokea yeye, na mzinga kanipiga yeye from day one, sasa nashangaa hii ni style mpya mlokuja nayo au? Mdada anategemea wazazi wake, hajishuhulishi na vicoba wala
Kama hanitaki kwanini Atumie nguvu zote hizo kuniigizia?