Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Sidhani, depends na uliyemchagua.
Sio kwamba it depends na hivyo alivyo ndivyo hivyo hivyo..

Kwenye ndoa kunakuwaga na mambo mengi sana so labda ukikutana na mtu ambae anahitaji mtu aliyetulia basi anaweza kukufanyia chochote kilicho ndani ya uwezo wake
 
🀣🀣 ndio alegee viabu vimtoke shughuli ifanyike
Jaribu kutengeneza moments asizozisahau..mpeleke wine cellar akachague wine,mpendekezee wine kadhaa…mpe kipaumbele kwenye menulist…chekeni chekeni kidogo..tengeneza mazingira fulani ili usiku akienda kulala akuwaze πŸ˜…πŸ˜…kama Uko na malengo nae hii ni nzuri
 
Sio kwamba it depends na hivyo alivyo ndivyo hivyo hivyo..

Kwenye ndoa kunakuwaga na mambo mengi sana so labda ukikutana na mtu ambae anahitaji mtu aliyetulia basi anaweza kukufanyia chochote kilicho ndani ya uwezo wake
Mara nyingi ukikutana na married Men wengi hutaka Utulivu na Mapenzi tu.

Tena mwingine anakwambia kabisa, sitaki Tuzae, kama watoto ninao tayari so hapo wewe ni kuhakikisha unampa penzi na Utulivu huku mnainjoi maisha pamoja.

Siku ukipata wa kukuoa na gharama za harusi anakuchangia πŸ’ͺ
 
Mimi huwa najitoa siwezagi michezo hiyo hata kama ni mbususu wacha niikose kuliko kufilisika
Uzuri kwenye database yako ukiwa nao wengi na uko nao peace unakuwa hutumii hela nyingi na usumbufu wa kupewa mbususu unapungua ukitaka mzigo. Sometimes wakiwa na nyege zao wanakucheki

Hauwezi kufilisika 🀣🀣🀣
 
Dogo toa hiyo elfu 10 haraka iwezekanavyo. Umelikoroga mwenyewe, hivyo lazima ulinywe.

Unafikiri hata ukipata huyo mdada anayekupenda, hutampa hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…