comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kutumia bidhaa ya Mmarekani ndo kutafuta usalama?Sababu za kiusalama zaidi…. 🤔
Hayo maji yanatofauti gani?Acha bi mkubwa anywe natural artesian water....atumie kampuni za ndani.,je wakidunga sumu??
Ninyi maji ya kandoro na Kilimanjaro hamuaminiki. Mnaweza kumuangamiza rais aliyepata 97%.Kutumia bidhaa ya Mmarekani ndo kutafuta usalama?
Toa maoninchi ngumu hii 😂😂😂😂
Mnywaji ndioa anajua acha upimbi kuniuliza kitu ambacho mi nawewe hatujui ladha yake...hata apa apa Tz maji ya brand hutofautiana ladha na uboraHayo maji yanatofauti gani?
Kwani hana procurement team ya ku source vitu vya kula.Ninyi maji ya kandoro na Kilimanjaro hamuaminiki. Mnaweza kumuangamiza rais aliyepata 97%.
Kwani hana procurement team ya ku source vitu vya kula.
Kama maji ni marekani, vipi kuhusu vyakula viungo vya pilau matunda, vinapatikana kwa utaratibu upi? Kwanini maji pia yasifuate huo utaratibu?
Amechaguliwa kwa 98% anaogopa niniMaji ya nje kwa usalama kampuni kubwa kama Fiji hawawezi risk hisa zake kwa kibibi cha miaka 70