Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

In other words baada ya wahisani kusitisha msaada zile ahadi zilizotolewa na ccm kwenye kampeni tutarajie sisitekelezeke kwa wakati.
 
Hayo hapo
Screenshot_20251127-101050_1.jpg
 
Daah maji ya kunywa yanatiririka hapo milima ya Uruguru maji safi kabisa waweke mitambo yao na ulinzi hapo waache kuhangaika na maji kutoka USA sijui China ni kupoteza hela tu za walipa kodi..
 
Mkimaliza kujadili kuhusu maji kunywa kutoka USA nisaidieni pia kuhusu MKe ya Mheshimiwa Spika Mussa Azzan Zungu eti anaishi kwao huko Mogadishu???
 
Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka marekani.

Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??)

Eti nyie wana jf mlioko MAREKANI haya maji ya FIJI yana tofauti gani na UHAI ya BAKHRESA??? Je?!, HIZI TUHUMA NI ZA KWELI?

View attachment 3507023
View attachment 3507024
Wanadai ukinywa maji haya risasi haipenyi ndiyo maana ana nyodo sana.
 
Back
Top Bottom