Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

Siku nikimpindua nitamweka rumande na nitakuwa namnywesha mkojo wangu wenye chumvichumvi.

Nyambaaaaf sana.
 
Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka marekani.

Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??)

Eti nyie wana jf mlioko MAREKANI haya maji ya FIJI yana tofauti gani na UHAI ya BAKHRESA??? Je?!, HIZI TUHUMA NI ZA KWELI?

View attachment 3507023
View attachment 3507024
Now ataanza kunywa ya Hill tu...vyuma vi vinaanza kukaza
 
Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka marekani.

Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??)

Eti nyie wana jf mlioko MAREKANI haya maji ya FIJI yana tofauti gani na UHAI ya BAKHRESA??? Je?!, HIZI TUHUMA NI ZA KWELI?

View attachment 3507023
View attachment 3507024
Habil and kabil
 
Back
Top Bottom