comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #21
š¤£š¤£š¤£Vyakula itakuwa vinatoka shambani, Oman. š
š¤£š¤£š¤£Vyakula itakuwa vinatoka shambani, Oman. š
Kabisanchi hii hakuna kinachoshindikana
Sasa mbona kama hasira au nyie ndio mnakunywa maji ya kunywesha Ng'ombeMnywaji ndioa anajua acha upimbi kuniuliza kitu ambacho mi nawewe hatujui ladha yake...hata apa apa Tz maji ya brand hutofautiana ladha na ubora
415,000,000 kwa mwaka.. Yaani kwa siku ni yanatumika maji ya Tsh 1,1369,86/=Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka marekani.
Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??)
Eti nyie wana jf mlioko MAREKANI haya maji ya FIJI yana tofauti gani na UHAI ya BAKHRESA??? Je?!, HIZI TUHUMA NI ZA KWELI?
View attachment 3507023
View attachment 3507024
Kiongozi yoyote muislamu ni mpumbavu siyo malkia tu hata kikwete mwinyi nk hao siku zote wana abudu waarabu na mabeberu...kwao mzalendo ni adui na uzalendo ni mafiiMimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka marekani.
Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??)
Eti nyie wana jf mlioko MAREKANI haya maji ya FIJI yana tofauti gani na UHAI ya BAKHRESA??? Je?!, HIZI TUHUMA NI ZA KWELI?
View attachment 3507023
View attachment 3507024
rabda majasusi hawajaamua kutumia mbinu zao kukuua.Acha bi mkubwa anywe natural artesian water....atumie kampuni za ndani.,je wakidunga sumu??
Hii imeanza lini, walikuwa wanakunywa ya Kilimanjaro sasa wamestuka kitu gani? Wanawaamini mabeberu kuliko wanavyoaminiana?
Unanunua maji supermarket sumu itawekwa muda gani?Wanaogopa sumu
Mpaka sasa samuya anatumia range vuzi sio V8 ya ikuliUnanunua maji supermarket sumu itawekwa muda gani?