Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

415,000,000 kwa mwaka.. Yaani kwa siku ni yanatumika maji ya Tsh 1,1369,86/=
 
Kiongozi yoyote muislamu ni mpumbavu siyo malkia tu hata kikwete mwinyi nk hao siku zote wana abudu waarabu na mabeberu...kwao mzalendo ni adui na uzalendo ni mafii
 
Kama ni kweli hapo ndio nazidi kuona umuhimu wa transparency ya matumizi ya Kodi zetu..., sababu nchi hii sasa hivi Miradi ndio imekuwa MIRADI - katika uagizaji wowote hapo kuna pesa zimepigwa balaa na watu kujipatia Umatemate....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…