Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

Sio tuu kwamba ni wizi bali ni upuuzi..

Unakuta yenyewe huko kwenye management yameongeza operational costs ambazo ni unnecessary harafu ushenzi wao wanampa mgonjwa.
Naunga mkono hoja.. Kuna is ishu pia Mbaya sana upande wa watoa huduma especially Drs.. Eti kuanzia sasa NHIF wamekataa kulipia consultations na kufikia hatua ya kuzikata kisa wamelink na Medical council Tanganyika MCT ambao wamewapa majina ya madaktari wote waliosajiliwa Ila hawatakiwi kupractice kisa hawajalipa pesa MCT ya practice licence fee ya madeni ya zamani.. Jamani huduma imeshatolewa sasa malipo ya MCT yanahusiana vipi na NHIF??? Wagonjwa walionwa na Robots? Kuna shida kubwa NHIF
 
*TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA
AUTHORISED KWENYE MFUMO*

Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu

Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia kuhama Kituo cha kutolea huduma(Hosp,H/na disp) moja kwenda nyingine kwa kujiamulia,mfano mgonjwa akianza kutibiwa Kituo X basi atakua wa X tu mpaka pale X tutakapo amua sisi mrefer mgonjwa kwenda sehemu nyingine la sivyo mgonjwa hataweza kwenda sehemu nyingine ,kama kuna emergency kutakua kuna utaratibu kwenye mfumo wa kuruhusu huduma ziendelee

Aidha mfuko utaweka pia utaratibu wa wale wagonjwa ambao ni wa refill ili kama amekuja kwa ajili ya refill asiweze kuchomekea kitu kingine cha kimatibabu

Kwa huduma za physio, meno kutawekwa utaratibu maalumu ili huduma kama hizo ziendelee

Mfuko unataka kubana wale wa watu wanaozunguka kila kituo kufanya vipimo, kuona madaktari na kulinganisha huduma za madaktari

Ni hayo tu ndugu zangu,muwe ka kazi njema.

Watu wa mapokezi mutakua munawaelekeza kwa upole wateja ambao kadi zao zimepata changamoto hizo.

NHIF.
This is crazy !!!!

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
source iko wapi? japo hata bundle zinapanda na source ni mpaka ukiunga ndo unaona..hawatoi matangazo sku izi
 
Naunga mkono hoja.. Kuna is ishu pia Mbaya sana upande wa watoa huduma especially Drs.. Eti kuanzia sasa NHIF wamekataa kulipia consultations na kufikia hatua ya kuzikata kisa wamelink na Medical council Tanganyika MCT ambao wamewapa majina ya madaktari wote waliosajiliwa Ila hawatakiwi kupractice kisa hawajalipa pesa MCT ya practice licence fee ya madeni ya zamani.. Jamani huduma imeshatolewa sasa malipo ya MCT yanahusiana vipi na NHIF??? Wagonjwa walionwa na Robots? Kuna shida kubwa NHIF
MCT ile ile iliyomsababishia ulemavu Dr Ulimboka lakini ikamtosa?
 
*TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA
AUTHORISED KWENYE MFUMO*

Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu

Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia kuhama Kituo cha kutolea huduma(Hosp,H/na disp) moja kwenda nyingine kwa kujiamulia,mfano mgonjwa akianza kutibiwa Kituo X basi atakua wa X tu mpaka pale X tutakapo amua sisi mrefer mgonjwa kwenda sehemu nyingine la sivyo mgonjwa hataweza kwenda sehemu nyingine ,kama kuna emergency kutakua kuna utaratibu kwenye mfumo wa kuruhusu huduma ziendelee

Aidha mfuko utaweka pia utaratibu wa wale wagonjwa ambao ni wa refill ili kama amekuja kwa ajili ya refill asiweze kuchomekea kitu kingine cha kimatibabu

Kwa huduma za physio, meno kutawekwa utaratibu maalumu ili huduma kama hizo ziendelee

Mfuko unataka kubana wale wa watu wanaozunguka kila kituo kufanya vipimo, kuona madaktari na kulinganisha huduma za madaktari

Ni hayo tu ndugu zangu,muwe ka kazi njema.

Watu wa mapokezi mutakua munawaelekeza kwa upole wateja ambao kadi zao zimepata changamoto hizo.

NHIF.
Woga na hofu nyingine ni za kipuuzi kabisa. NHIF inataka bima iwe kama lile "duka la Mhindi" zama za ukoloni na enzi ya Mwalimu ukitaka ukitaka bidhaa/huduma chukua usipotaka acha na huna pa kwenda pengine.

Hivi kweli mtu anaweza kupenda tu kuzurura kwenye hospitali bila kuwa na hitaji la kujua afya yake. Na unamuwekea pingamizi la kijinga kama hili la kutokwenda hospitali nyingine mpaka kwa mizengwe! Pamoja na sisi watumiaji tutaumia. Nadhani kutakuwa na kilio kwa hospitali nyingi za binafsi ambazo zimejiunga kutoa huduma kupitia NHIF.

Kuna watu wanatamani tuwe "Wasirilanka" kwa kweli.
 
mfuko wa nhif umeanzishwa kwa act ipi kwanza? na taratibu zake zinapangwa na nani? unasimamiwa na nani(governing body) ..nkipata haya majibu ndo ntaelewa..
 
Back
Top Bottom