Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hasee umenikumbusha habari za TIRA. hao sana sana wametengeza mfumo ili matrafiki ili wazibake hela zetu kwenye hivi vyombo vyetu vya usafiri. nadhani ni mojawapo ya taasisi kibogoyo kabisa hapa tozonia.Naona matangazo yanayozunguka mitandaoni kuhusu utaratibu mpya wa huduma ambao ni fujo, kero tupu, usumbufu na uonevu wa waziwazi wa wanachama wa mfuko huo. Ati mtu anapangiwa kwamba haruhusiwi kwenda hospitali zaidi ya mara tatu kwa mwezi, na kwamba eti analazimishwa ahudhurie kituo kimoja tu! Kumbe kwa ufahamu wa NHIF magonjwa yanatii amri ya kwamba ndani ya mwezi mmoja hayatakuja mara 3? Na huyo ambaye mwaka mzima hajaugua mtamrudishia michango yake? Hivi nikisafiri kikazi Dar to Kigoma na nikaugua huko, sina haki ya kutibiwa hata kama nina kadi ya NHIF? Huu sasa mbona ni ujinga wa kuturudisha nyuma sana?
Mfuko huu umeshindwa kazi, basi na ufutwe, bima iwe hiari watu wajiunge na kampuni watakayochagua wenyewe, na kama na zenyewe zikileta upuuzi huo basi biashara ya bima ya afya ifutwe tu, haya ni mambo ya kuumiza wananchi!
Nauliza, hivi wale wakala wa kudhibiti masuala ya bima (TIRA) hawahusiki na hizi bima za afya? Wako wapi mbona watu tunadhulumiwa mchana kweupe?
The National Health Insurance Fund (NHIF) is a Social Health Insurance Institution established under the National Health Insurance Act, Cap 395 with the main objective of ensuring accessibility of health care services to people. It is a Government entity that operates under the Ministry of Health (MOH). The management of the Fund is vested to the Board of Directors while its day to day operations are overseen by the Director General. The Fund considers health insurance as a societal affair rather than an individual need and thus operates under the principles of risk sharing and solidarity among members.mfuko wa nhif umeanzishwa kwa act ipi kwanza? na taratibu zake zinapangwa na nani? unasimamiwa na nani(governing body) ..nkipata haya majibu ndo ntaelewa..
Ifumuliwe!Naona matangazo yanayozunguka mitandaoni kuhusu utaratibu mpya wa huduma ambao ni fujo, kero tupu, usumbufu na uonevu wa waziwazi wa wanachama wa mfuko huo. Ati mtu anapangiwa kwamba haruhusiwi kwenda hospitali zaidi ya mara tatu kwa mwezi, na kwamba eti analazimishwa ahudhurie kituo kimoja tu! Kumbe kwa ufahamu wa NHIF magonjwa yanatii amri ya kwamba ndani ya mwezi mmoja hayatakuja mara 3? Na huyo ambaye mwaka mzima hajaugua mtamrudishia michango yake? Hivi nikisafiri kikazi Dar to Kigoma na nikaugua huko, sina haki ya kutibiwa hata kama nina kadi ya NHIF? Huu sasa mbona ni ujinga wa kuturudisha nyuma sana?
Mfuko huu umeshindwa kazi, basi na ufutwe, bima iwe hiari watu wajiunge na kampuni watakayochagua wenyewe, na kama na zenyewe zikileta upuuzi huo basi biashara ya bima ya afya ifutwe tu, haya ni mambo ya kuumiza wananchi!
Nauliza, hivi wale wakala wa kudhibiti masuala ya bima (TIRA) hawahusiki na hizi bima za afya? Wako wapi mbona watu tunadhulumiwa mchana kweupe?
Mtaandamana kutokea Kenya au Uganda? Hamkawii kusema niko msibani.Bora ilwe ya kughushi maana kama ni kweli tutaandamana
Hapahapa JF na mitandao mingine hadi ufafanuzi utolewe, mbona tushafanya hivyo na yakaibukia bungeni au we mgeni mtandaoni?Mtaandamana kutokea Kenya au Uganda? Hamkawii kusema niko msibani.
TUMESEMA CCM ITATAWALA ZAIDI YA MIAKA 80 IJAYO, NYIE VIPI MBONA HAMSIKII!Habari za mchana wapendwa.
Habari za kusikitisha - NHIF wamebadilisha mifumo yao ya matumizi ya card.
1- Tegemezi wengi wameondolewa,
2- Card itumike x 3 tu kwa mwezi.
3- Kama umetibiwa Jana au juzi, ukienda hospitali nyingine utatakiwa uende na Referral toka hiyo hospitali ulikotibiwa mara ya mwisho.
Makorokoro kibao yamebadilika. Tunaendelea kuwasikiliza. Ni shida tupu.
HII SIO HAKI MTU ANACHANGIA AFU HUDUMA ANAPANGIWA ATIBIWE KTK KITUO KIMOJA TU KWA MWEZI NA NA MARA TATU TU KWA MWEZ HII SIO HAKI. BASI WATUMISHI WARUHUSIWE KUJIUNGA NA MIFUKO MINGINE ISIWE LAZIMA NHIF ILI AFUATE HUDUMA SEHEMU ANAYOONA INAFAA
Kumbe mama amekua Putin!Putin anaikomesha.dunia kwa kweli
Bila katiba Mpya watu wakajua hawana hati miliki na TanzaniaNchi ipo ICU kiuongozi tumekwama ni hatari Sana tunahitaji katiba mpya kuondoa hili ombwe
Vurugu za kutibua uchumi wa dunia kaasisi PutinKumbe mama amekua Putin!