Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

Sio tuu kwamba ni wizi bali ni upuuzi..

Unakuta yenyewe huko kwenye management yameongeza operational costs ambazo ni unnecessary harafu ushenzi wao wanampa mgonjwa.
Naunga mkono hoja.. Kuna is ishu pia Mbaya sana upande wa watoa huduma especially Drs.. Eti kuanzia sasa NHIF wamekataa kulipia consultations na kufikia hatua ya kuzikata kisa wamelink na Medical council Tanganyika MCT ambao wamewapa majina ya madaktari wote waliosajiliwa Ila hawatakiwi kupractice kisa hawajalipa pesa MCT ya practice licence fee ya madeni ya zamani.. Jamani huduma imeshatolewa sasa malipo ya MCT yanahusiana vipi na NHIF??? Wagonjwa walionwa na Robots? Kuna shida kubwa NHIF
 
This is crazy !!!!

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
source iko wapi? japo hata bundle zinapanda na source ni mpaka ukiunga ndo unaona..hawatoi matangazo sku izi
 
Hiyo sio social protection tena! Ni social Destruction...!
 
Tatzo mkubwa wa nchi anawadekeza watoto wake Sa itakuaje 😀
 
MCT ile ile iliyomsababishia ulemavu Dr Ulimboka lakini ikamtosa?
 
Woga na hofu nyingine ni za kipuuzi kabisa. NHIF inataka bima iwe kama lile "duka la Mhindi" zama za ukoloni na enzi ya Mwalimu ukitaka ukitaka bidhaa/huduma chukua usipotaka acha na huna pa kwenda pengine.

Hivi kweli mtu anaweza kupenda tu kuzurura kwenye hospitali bila kuwa na hitaji la kujua afya yake. Na unamuwekea pingamizi la kijinga kama hili la kutokwenda hospitali nyingine mpaka kwa mizengwe! Pamoja na sisi watumiaji tutaumia. Nadhani kutakuwa na kilio kwa hospitali nyingi za binafsi ambazo zimejiunga kutoa huduma kupitia NHIF.

Kuna watu wanatamani tuwe "Wasirilanka" kwa kweli.
 
mfuko wa nhif umeanzishwa kwa act ipi kwanza? na taratibu zake zinapangwa na nani? unasimamiwa na nani(governing body) ..nkipata haya majibu ndo ntaelewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…